Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
š¤£umejizatiti kwamba kama anaweza akuue!!! umechoka kukaa nalo moyoniPopoma kama popoma akijipakulia minyama
Matusi hayanitishi njoo uniue nipo kawe club laroca
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee mbona siwaoni au ngoja niwasubiri afu ntajua cha kuwafanyaKuwa makini Mkuu kuna Mademu ( Malaya ) wapya Wawili hapo Club La Roca Kawe wana Virusi vya Gitaa la Solo la Dally Kimoko.
Wametokea Tabata na mara nyingi huja hapo Kipindi hiki Wajeda ama wamepokea Mishahara yao tarehe 22 ya kila Mwezi au Resheni yao ya kila tarehe 30 ya Mwezi.
Mida hii ya Mchana hupenda sana Kujificha katika Saluni Moja nyuma ya ilipo hiyo ATM ya NMB. Sifa yao nyingine ni Uwizi na Kukulengesha kwa Masela ili wapite nawe kwa Mpalange.
Kama ukiwagonga nakuomba vaa Ndomu.
Umeandika kwa Uchungu sana.Umezaliwa cku aliyofariki mwanangu leo Niko nyumbani naangalia picha zake video alifariki 9:30 mchana nasubiria muda ufike nibusu pichazake nimwombee kwamungu
Onelove peace muombeePole sana Mkuu, naungana nawe katika Majonzi hayo ila Kikubwa nakuomba tunshukuru tu Mwenyezi Mungu kwa yote na tumuombee Mpendwa Wetu huyo Makazi mema huko aliko.
Nimejisikia na Huzuni ghafla Mkuu na Kujisikia vibaya kuwa labda Ule Uzi wangu wa ( Happy Birthday yangu ) umekupa Majonzi na Kukuumiza pia. Naomba Radhi Mkuu.
Sina muda huo wa Kupoteza ila ninachojua leo Radio One na Watangazaji hao Wameniheshimisha kwa Kunitaja mwisho wa Kipindi walipokuwa Wanaaga pamoja na Kuutaja Mtandao huu wa JamiiForums.Apost hicho kipande walichomtaja.
Ukiona hukipendi Kipindi hicho jua Wewe ni Mpumbavu, Muhuni, Mnafik, mwana Yanga SC na Mgonjwa wa Akili.Hicho kipindi bahati mbaya huwa sikipendi kimekaa kiumbea umbea, hongera kwa kutajwa huko.
Uandishi wako na huu Uwasilishaji wako unaonyesha kuwa Wewe una Chuki zako tu binafsi na Abubakary Sadick na kwamba huenda ulikuwa na lako Jambo na aliyekuwepo Mtangazaji Abdallah Mwaipaya ( sasa DC wa Mwanga )Kipindi ni kizuri ila abubakari sadiki hakiwezi, naona hata Farhia amegundua huyu kijana ni mswahili anadakiadakia maneno wakati mwingine farhia anaongea cha maana anadakiadakia tu, hiki kipindi Mwaipaya ndo alichokiweza, kama kuna uwezekano wajaribu kutafuta mtu mwingine ashirikiane na Farhia lakini huyu abubakari sadiki ni zero kabisa hajaweza kuvaa viatu vya mwaipaya,kwanza anaonekana hana hata upeo wa maisha ni kijana wa kitaa tu.....ili kurudisha ubora wa hichi kipindi mtoeni huyu kijana mapema
Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Mbona hata Bichwa lako pia ni Takataka?Yani niache kusikiliza Easy Sunday nisikilize hizo takataka?