Kipindi ni kizuri ila abubakari sadiki hakiwezi, naona hata Farhia amegundua huyu kijana ni mswahili anadakiadakia maneno wakati mwingine farhia anaongea cha maana anadakiadakia tu, hiki kipindi Mwaipaya ndo alichokiweza, kama kuna uwezekano wajaribu kutafuta mtu mwingine ashirikiane na Farhia lakini huyu abubakari sadiki ni zero kabisa hajaweza kuvaa viatu vya mwaipaya,kwanza anaonekana hana hata upeo wa maisha ni kijana wa kitaa tu.....ili kurudisha ubora wa hichi kipindi mtoeni huyu kijana mapema
Sent from my SM-M115F using
JamiiForums mobile app