Asanteni sana Simba, Kwa sasa Yanga Presha ya kutwaa ligi kuu imeshuka, mmeupiga mwingi

Asanteni sana Simba, Kwa sasa Yanga Presha ya kutwaa ligi kuu imeshuka, mmeupiga mwingi

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Sio siri Yanga tulikuwa na wasi wasi wa kaweza kulipambania kombe la ligi kuu baada ya kupoteza derby, yani tulikuwa tumepishana point 5 tu na Simba na mbaya zaidi sisi Yanga tulikuwa tuna mechi 3 ugenini ikiwemo ya wajela jela na Mbeya city.

Kwa sasa pumzi imeshuka kidogo maana tunahitaji kushinda mechi 2 tu kati ya nne zilizobaki ama kushinda moja na kudraw zote.

ASANTENI SANA, MMEUPIGA MWINGI
 
Back
Top Bottom