Sio siri Yanga tulikuwa na wasi wasi wa kaweza kulipambania kombe la ligi kuu baada ya kupoteza derby, yani tulikuwa tumepishana point 5 tu na Simba na mbaya zaidi sisi Yanga tulikuwa tuna mechi 3 ugenini ikiwemo ya wajela jela na Mbeya city.
Kwa sasa pumzi imeshuka kidogo maana tunahitaji kushinda mechi 2 tu kati ya nne zilizobaki ama kushinda moja na kudraw zote.
ASANTENI SANA, MMEUPIGA MWINGI