Asanteni sana Uongozi wa Simba SC na Bodi ya Simba SC kutusikiliza 'Wadau' na kuamua kuwa Mchezaji Ousmane Sakho 'hatotemwa' Kikosini

Hawa jamaa hawajui mpila au wanafaidika na 10 % ya mishahara kwa hao wachezaji maana sio kwa utetezi huu wa kishamba
 
Hawa jamaa hawajui mpila au wanafaidika na 10 % ya mishahara kwa hao wachezaji maana sio kwa utetezi huu wa kishamba
Uzi unaohitaji Great Thinking ya hali ya Juu kwa Poor Thinkers wa mfano wako Kuuchangia na Kupoteza na Kutupotezea muda tu.

Cc: Kisalilo
 
Okwi na chama c waflamee simba bali n wachezaji bora waliopitaa simbaa ,
 
Ukiona mtu anatafuta makosa ya kiuandishi ili apate sababu ya kukushambulia badala ya kushambulia hoja yako, Basi huyo mtu hafai kujiita Great thinker
 
Sawa, ila sidhani kama ni falsafa nzuri kushindana kwenye usajili, matokeo yake ni kuchoma pesa nyingi kwenye zoezi hili bila mafanikio yoyote! Kila timu iende na falsafa yake katika hili na kwa malengo yake, PERIOD!
 
Yaani Mugalu aachwe?🙄
 
Simbaa wapunguze kulogana?miongoni wa Wachezaji,Tena Mchezaji ukiwa mgeni halafu unafanya vema ni kulogwa ukose namba Hizi ndio akili za Watanzania Kuuwana Viwango.
Eti Thadeo lwanga anataka kuachwa...?
 
Simbaa wapunguze kulogana?miongoni wa Wachezaji,Tena Mchezaji ukiwa mgeni halafu unafanya vema ni kulogwa ukose namba Hizi ndio akili za Watanzania Kuuwana Viwango.
Eti Thadeo lwanga anataka kuachwa...?
Kiufundi Thadeo Lwanga hatufai Simba SC hasa huko tunakoelekea Kimataifa kwani ana Rafu za Kijinga ambazo kwa Waamuzi ( Referees ) wa Kimataifa na Wakubwa atakuwa anatugharimu lakini pia ni Mzito hana Kasi hasa Timu ikiwa inashambuliwa.

Akiachwa nitapongeza na hakutokuwa na Pengo hasa ukizingatia Mwanangu mwenyewe Jonas Gerald Mkude amesharejea tena safari hii ametakata kabisa na ameshatengeneza 'Chemistry' nzuri na Mwamba Saido Kanoute wakiwa pamoja na Punda Muzamiri Yasini.
 
Ngoja niulize kwa nia na lengo la kuelewa hayo juu ya Thadeo Lwanga. Hivi kwa mfumo wa kocha aliyondoka SSC juzi juzi, Thadeo Lwanga alikuwa akicheza kama nani - Attacking or Defending Midfielder!? Kasi ya mchezaji inategemea na nafasi achezayo, kama ni Attaking au Defending Midfielder, sasa Lwanga yuko nafasi gani kati ya hizo? Tukijua hilo, then tutajua kama anahitajika awe na mwepesi, mzito au awe na spidi. Nawasilisha!
 
Asante ila tabia yangu hii ya Uhalisia huu ulioutaja ndiyo unanifanya nichukiwe na nipigwe 'Zengwe' na Wapuuzi ( Hopeless ) kadhaa ( japo siyo Wote ) hapa Jamvini na hata nje ya Mtandao huu wa JamiiForums.
Anaekuchukia wewe kwa kua na uthubutu wa kusema mawazo yako inapaswa ajichukie yeye kwanza. Una jeuri (sorry kwakutumia neno hili) na uthubutu kamili usio na shaka kwenye kile unachoamini. Endelea kua wewe, anaechukia uandikacho ni ana matatizo.
 
Morrison na yeye atupishe,ana utoto mwingi ,anatafuta Kadi za kijinga
Mimi ndiyo siyo tu Simkubali lakini pia Simpendi ndani ya Kikosi cha Simba SC kwani ana Upuuzi wa 95% na Ufanisi wa 5% tu Kiuchezaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…