Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Kama mchezaji wa Kigeni haanzi First Eleven ya Simba.Taahira huwa anaujua Uzuri wa Sakho?
Kocha na benchi la ufundi ndio wanaofanyia tathmini ya Wachezaji wakiwa Mazoezini.Sioni mantiki ya kumuacha mchezwji yoyote tuliyemsajili dirisha la kiangazi
Duncan Banda na Sako wameonyesha wana kitu mguuni ila bench limewanyima kutuonyesha hicho kitu.
Mimi naomba waterminate mkataba wa Kibu haraka sana, huyo ndio usajili pekee uliofeli mpaka sasa
Kahata ilikuwa ni bahati mbaya tu kwake.Si bora angebaki Kahata sasa mnauza Kahata mnaleta mtu anaezidiwa na Kahata
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kahata ilikuwa ni bahati mbaya tu kwake.
Uwezo wake unawazidi, hao Akina Chikwende, Sackho na Duncan Nyoni.
Ni mzuri Ila Yuko taratibu mno, Hana Kasi.Duncan Nyoni Fundi Nyie sema hajapewa muda wa kutosha kuonyesha kile alichonacho