Asanteni sana Wachezaji Waandamizi Wazawa Wawili Juzi na Jana 'Kuwapiga' Onana na Inonga kwa 'Dharau' zao baada ya 'Kipigo' cha Yanga SC

Asanteni sana Wachezaji Waandamizi Wazawa Wawili Juzi na Jana 'Kuwapiga' Onana na Inonga kwa 'Dharau' zao baada ya 'Kipigo' cha Yanga SC

Kufungwa sikatai ni muktadha unoweza kupita.

Lakini kufungwa 5 halafu kizembe aisee dah. Inauma sana

Kudadadeki wanyooshane tu
Nina Hasira sana na Mpuuzi Beki Henock Inonga. Labda asije na Gari yake Mikocheni B kukutana na Demu wake Mrembo hasa Misumari ya inchi Sita ( 6 ) itahusika katika Tairi za Gari lake.
 
ANGALIZO

Huvutiwi na Taarifa / Habari zangu GENTAMYCINE hapa Jamiiforums njia ni rahisi tu achana na Mimi, usifungue Thread yangu na itapendeza zaidi kama utanibloku ( ignore ) ili tusichoshane na uniachie tu wale Werevu na Wanaonielewa na Kuniamini waendelee Kuhabarika kwa ninayoyaleta hapa ambayo kamwe huwezi kuyapata kwa Kinyankera yoyote yule.

Kuendelea kumsoma na kumfuatilia GENTAMYCINE ambaye kutwa HUMPENDI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI wake na HUZIAMINI TAARIFA / HABARI zake kunaonyesha kuwa MOYONI mwako UNAMKUBALI ile mbaya lakini pia una Vijitabia AMINIKA vya MBWA JIKE aliyeko katika Heat na anayelitafuta JIBWA DUME na TUKUKA LIMPANDE na aridhike kwa KUSUUZIKA vilivyo ili atulie.

Ikiwa hutaki tuchangie kwenye nyuzi unazoleta hapa nenda kaandike sebuleni kwenu ili ndugu zako wakenue meno na kufurahia ujuha wako,lakini kwa hapa jukwaani tu utaula wa chuya!.

Hapa tutakukaanga,tutakupakua na utaliwa mkavu mkavu utake usitake!
 
Selemani bana,leo umekuja na famba nyingine baada ile ya kasimamishwa kubuma.
FB_IMG_16992583151771630.jpg
 
ANGALIZO

Huvutiwi na Taarifa / Habari zangu GENTAMYCINE hapa Jamiiforums njia ni rahisi tu achana na Mimi, usifungue Thread yangu na itapendeza zaidi kama utanibloku ( ignore ) ili tusichoshane na uniachie tu wale Werevu na Wanaonielewa na Kuniamini waendelee Kuhabarika kwa ninayoyaleta hapa ambayo kamwe huwezi kuyapata kwa Kinyankera yoyote yule.

Kuendelea kumsoma na kumfuatilia GENTAMYCINE ambaye kutwa HUMPENDI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI wake na HUZIAMINI TAARIFA / HABARI zake kunaonyesha kuwa MOYONI mwako UNAMKUBALI ile mbaya lakini pia una Vijitabia AMINIKA vya MBWA JIKE aliyeko katika Heat na anayelitafuta JIBWA DUME na TUKUKA LIMPANDE na aridhike kwa KUSUUZIKA vilivyo ili atulie.
Ikiwa hutaki tukomenti kwenye nyuzi zako hizi za kijuha nenda kawaandikie ndugu zako kwenye kuta za chooni Ushambenga na ushakunaku wako ili kila asubuhi wakienda kushusha mizigo wakenue meno na kukupigia Makofi!

Hapa tutakupika,tutakupakua na utaliwa bila kachumbari.
 
Pia nikushukuru sana Kipa Aishi Manula kwa kuamua kuwatolea Uvivu Wachezaji wenzako ( Wageni ) hasa Chama na Ntibanzokinza ( tena kwa Kuwatukana vilivyo ) mpaka ukaamuliwa na Waandamizi Wawili Mmoja Kiongozi na Mwingine yuko Benchi la Ufundi.

Wewe Mchezaji Mwandamizi Mzawa wa Simba SC uliyeninyooshea vilivyo Mchezaji Mpuuzi na Mchezaji ninayemchukia Leandre Onana Mwana wako GENTAMYCINE nakuomba tukutane pale Kijiweni Kwako Goba baadae Jioni ili nikupe hata Kuku tu uende ukamchinje na Ujipoze kwani Umenifurahisha mno.

Nawe uliyeninyooshea Inonga tukutane mida mida Mikocheni B kwa Warioba uje nikupe namba ya Demu wake Mmoja Mtanzania ( ambaye anapendwa na Inonga hadi ameanza kusahau Kwao Congo DR ) ili Umtongoze na upite nae mazima Kibaiolojia ili akijua aumie mara Mbili kama alivyotuumiza Sisi wana Simba SC kwa Kutuhujumu Jumapili na Kukutwa na Kimbunga Hatari cha tarehe 5 goli 5.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!

ANGALIZO

Huvutiwi na Taarifa / Habari zangu GENTAMYCINE hapa Jamiiforums njia ni rahisi tu achana na Mimi, usifungue Thread yangu na itapendeza zaidi kama utanibloku ( ignore ) ili tusichoshane na uniachie tu wale Werevu na Wanaonielewa na Kuniamini waendelee Kuhabarika kwa ninayoyaleta hapa ambayo kamwe huwezi kuyapata kwa Kinyankera yoyote yule.

Kuendelea kumsoma na kumfuatilia GENTAMYCINE ambaye kutwa HUMPENDI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI wake na HUZIAMINI TAARIFA / HABARI zake kunaonyesha kuwa MOYONI mwako UNAMKUBALI ile mbaya lakini pia una Vijitabia AMINIKA vya MBWA JIKE aliyeko katika Heat na anayelitafuta JIBWA DUME na TUKUKA LIMPANDE na aridhike kwa KUSUUZIKA vilivyo ili atulie.

...................................................................

...

Na nyie Wazee wa Kukopi kila Taarifa / Habari ambazo GENTAMYCINE nazileta hapa oneni Aibu basi hata kidogo kusema / kujifanya ni zenu ( mmeziibua nyie ) wakati kumbe zote ( kwa 100% ) mmezitoa hapa Jamiiforums na Kwangu Mwamba na Mfalme GENTAMYCINE.

Na kama mnajifanya mnajua Kupata / Kuibua Taarifa / Habari za Ndani ( Nyeti ) za Kimichezo nchini mbona kuna Matukio makubwa Mawili ya Ndani na yanafanyika leo Simba SC ( baada ya Kipigo cha Juzi ) na wala hamjaitoa au hamjaileta hapa?

Sasa kwakuwa najua hamuijui na hamna Ubavu wa Kuzijua niamkieni Kwanza GENTAMYCINE, nipigieni Salute na kubalini Mimi ni Mfalme na Mwamba ndiyo nitazileta hapa Jamiiforums kisha mzikopi huko katika Viblogu Blogu vyenu, Mitandaoni na katika Redio zenu mpate Followers zaidi, ila msipofanya hivyo nabaki nazo na Mtadoda huku Mkinuna.

Kudadadeki..!!
Nadhani angalizo lingewekwa juu kabisa kuepusha mtu kusoma uzi kabla ya angalizo
 
Kama kiungo fundi HARUNA MOSHI 'BOBAN' alivyompa kichapo mshambuliaji EMMANUEL OKWI wakiwa kwenye vyumba vya wachezaji ndani ya Uwanja wa Uhuru mwaka ule, kwa kosa la OKWI kuleta utoto langoni mwa Yanga badala ya kufungia.

Hii ilimfanya OKWI aombe kurudi home akivunga ana anaenda Kampala kushughulikia matatizo ya kifamilia, na alipofika kule aligoma kurudi Simba hadi alipobembelezwa sana ndo akarudi.
 
Rekodi uliyotakiwa kuifuta ni ile ya Goli 5 kwa 0 ya mwaka 2012 na siyo hii yako ya Goli 5 kwa 1.

Na ukimaliza kulipa Rekodi hii njoo uzifute na zile Goli 4 kwa 1 nilizokufunga zaidi ya mara Nne huku Mechi moja aliyekuwa Kipa wenu Peter Manyika baada ya tayari Yanga SC kufungwa Goli 4 ( Uwanja wa Uhuru Shamba la Bibi ) alimwomba Kiuhuruma ( tena kwa Sauti ) Mshambuliaji wa Simba SC Madaraka Selemani 'Mzee wa Kiminyio' kuwa asimfunge Goli la 5 kwani angeaibika na kweli Madaraka akazuga na kumpa Mpira Mshambuliaji mwingine aliyekuwa si sehemu nzuri ya Kufunga na hakufunga kweli.

Mkimaliza kulipa hiki Kisasi cha Goli Nne Nne nakuomba sasa uje uifute Rekodi ambayo inakutesa hadi leo ya Kufungwa na Simba SC Goli 6 kwa 0.

Kudadadeki...!!
Tukubali mtani tumepigwa 5

Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom