Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wewe hupewi saizi yako
Huko Tigo siko kabisa baada ya kupewa za siku saba zikatumika siku 2 na hela yake ilikuwa ndefu na sikutumia sana. sasa hivi imebaki kunitumia tuu msg kwamba natakiwa kukopa au sijui nini na kujisajili... ila hata waifungie mimi ni sawa tuu
wewe ni mnyonge na serikali hii ni ya wanyongeMie najiunga cha week napewa GB 3,dakika na sms nyingi kwa 5000
Yaani leo wametoa ofa mpya 1000 unapata 1GB siku 7 full kujiachia.
Unapiga *148*00# ok chagua sizi yako kisha namba 1 tayari mambo hayo wewe tu[emoji123][emoji123]
Tigo wana unafuu kwa calls na sio upande wa data/mbTigo wanarahisisha maisha
Hawa Tigo wapuuzi washafulia sasa hivi
Yaani leo wametoa ofa mpya 1000 unapata 1GB siku 7 full kujiachia.
Unapiga *148*00# ok chagua sizi yako kisha namba 1 tayari mambo hayo wewe tu[emoji123][emoji123]