Asanteni Tigo mmenipunguzia gharama za bando

Asanteni Tigo mmenipunguzia gharama za bando

Khaa.. kwanini umewachukia hivyo
Huko Tigo siko kabisa baada ya kupewa za siku saba zikatumika siku 2 na hela yake ilikuwa ndefu na sikutumia sana. sasa hivi imebaki kunitumia tuu msg kwamba natakiwa kukopa au sijui nini na kujisajili... ila hata waifungie mimi ni sawa tuu
 
Halotel tunapewa 7gb kwa 5000 wiki nzima kama tupo peponi vile😁😁

Halotel oyeeeee.
 
Mkuu mtandao wenu wa Tigo haufai kwa internet, uko slow mno.
Majambazi voda kwa ubora wako juu mbani na gharama zso za kijambazi.
Niseme tu kuwa ubora na gharama ni pete na kidole
Yaani leo wametoa ofa mpya 1000 unapata 1GB siku 7 full kujiachia.

Unapiga *148*00# ok chagua sizi yako kisha namba 1 tayari mambo hayo wewe tu[emoji123][emoji123]
 
Hii mbona ndogo mkuu mm kwa siku simu natumia gb2 najiunga halotel ya 500mb mara 4 na sometimes haitosh
Yaani leo wametoa ofa mpya 1000 unapata 1GB siku 7 full kujiachia.

Unapiga *148*00# ok chagua sizi yako kisha namba 1 tayari mambo hayo wewe tu[emoji123][emoji123]
 
Tigo wahuni wamenitolea kifurushi cha 4gb kwa 2000 kwa wiki, shwaini kabisa
 
Back
Top Bottom