NyegereBOY
JF-Expert Member
- Mar 24, 2021
- 225
- 328
Sina budi kumshukuru muumba kwa kutupatia neema zote kubwa kwa ndogo ndogo
Naomba nisikuchoshe mdau katika jukwaa hili tuende moja kwa moja kwenye kusudio husika la uzi huu
Iko hivi miezi kadhaa iliyopita tuliweza kuleta wazo kupitia uzi huu hapa chini unaweza kusoma kupata wazo au mwanga wa kile tunachokizungumzia hapa na ukapata nafasi ya kuuliza kuchangia na kueleweshana zaidi, lakini pia nitumie fursa hii kutoa shukrani za dhati kwa wadau walioweza kuonyesha ushirikiano na waliotia nia katika kunisaidia kuboresha wazo hili. soma hapa👇👇
Je, unaamini katika kuwekeza? Nina wazo la biashara kuanzia 10/20m ( kuuza unlimited internet buku tu kwa siku mteja atatumia hata gb 500 yeye tu
kwa ufipi wazo letu lilikuwa ni kufanya biashara ya HOTSPOT MANAGE hii ni biashara inayojihusisha na ku manage internet kupitia huduma ya internet WIFI na kuwawezesha watumiaji kutumia Wi-Fi yenye mfumo wa kisasa na kurahisisha upatikanaji wa internet katika nyumba na sehemu mbali mbali za biashara
HITAJI LETU KWA SASA
Kutokana na kufanikiwa kwa wazo hili tumeona ni vema kugawana fursa kwa wadau mbali mbali ili kuweza kufikia malengo yetu makubwa ya kuwa ( INTERNET SERVICE PROVIDER ) kwakuwa kila mwanzo unaugumu wake kwasasa demand ya huduma yetu ni kubwa ila uwezo wa kuhudumia umekuwa mdogo hasa kimtaji.
hivo furaha yetu na hitaji letu kwa sasa kupata muwekezaji kwa minajili ya kutununulia vifaa wezeshi katika usambazaji wa huduma lakini pia kurudisha na kupata faida ya uwekezaji wake huo kwa muda wa miezi 3 na week 2 kulingana na uendeshaji wetu, hivo basi hatuna budi kumkalibisha mdau yoyote mwenye mtaji kuanzia 5 milioni mpaka 10m uwe mdau binafsi kampuni au hata startup fund company.
MCHANGANUA WA FAIDA ATAKAYO IPATA MUWEKEZAJI KWA MUDA WA MIEZI 3 NA WEEK 2
Ili kufanikisha biashara hii tuna uhitaji wa vifaa wezeshi kufanikisha zoezi hili na hivi vifaa gharama yake sio rahisi kidogo ukilinganisha na uwezo wetu kwasasa.
MFANO ; site moja inahitaji vifaa vyenye thamani ya tsh.500,000 hivo basi kupata mdau mwenye mtaji wa kuanzia milioni 5 atakuwa ametuwezesha sisi kupata site 10 na yule wa milion 10 atatuwezesha kupata site 20
kwa uhitaji tuliona kwa idadi ya vifaa tulivotaja hapo juu tuna thubutu kusema kuwa tunauwezo wa kurudisha uwekezaji huo kwa muda usiozidi miezi 3 na week 2 na kumtengenezea muwekezaji faida nzuri
MFANO ;
kwa muwekezaji wa tsh 5,000,000 tutaweza kumrejeshea kiasi cha tsh 7,500,000/= kwa muda wa miezi 3 na week 2
kwa muwekezaji wa tsh 10,000,000/= tutaweza kumrejeshea kiasi cha tsh 15,000,000/= kwa muda wa miezi 3 na week 2
Namna ipi pesa yake mdau wetu angependa kupatiwa yeye ndio atapendekeza iwe kwa siku.week au kwa kila mwezi mfano
kwa muwekezaji wa 10,000,000 ataweza kurejeshewa kiasi chake kwa 👇
* kwa siku 143,000/=
* kwa week 1,000,000/=
*kwa mwezi 4,300,000/=
jumla kwa uwekezaji wake wa 10m ataweza kupata faida ya tsh. 5,000,000 kwa muda wa siku 105 tu
kwa muwekezaji wa 5,000,000 ataweza kurejeshewa kiasi chake kwa
* kwa siku 72,000/=
* kwa week 500,000/=
* kwa mwezi 2,020,000/=
jumla kwa uwekezaji wake wa 5m ataweza kupata faida ya tsh. 2,500,000 kwa muda wa siku 105 tu
wakuu yangu ni hayo naomba kuwakaribisha kwa maswali ufafanuzi zaidi lakini pia project hii inafanyika kwa dar pekee hivo kwa muwekezaji yoyote wa mkoani tunakukaribisha kwakuwa hii huduma inauwezo wa kutumika popote Tanzania inakopatikana internet.
unaweza kutufikia kwa
instagram @masoko_internet
Whatsapp & Calls 0710020066