Asanteni Wajumbe wa Kigamboni, Kamati yangu ya 'Wasiojulikana' ya Roho Mbaya CCM Dar es Salaam na Kamati Kuu ya CCM Dodoma 'Mtu' kachinjwa rasmi

Jamaa kakonda au anaenda jim kila saa, tujifunze majivuno, dharau haifai kwenye harakati na jamaa alikua mfitini na mchonganishi inaeza kua sababu ya watu kufurahia anguko lake
Jim gani huyo ana vimeo kibao
 
huyu mpuuzi anaelekea kuishi kama shetani laana ni mbaya sana hii ni sherehe kwasisi roho mbaya
Haka kajamaa Ni kapumbavu Sana,hakajawahi kufanya bar examination ,kanajichanganya na hakajui kanaongea nini.Kanasema operation ukuta ilikuwa idea yake na waliiacha baada ya kuona haina tija kwa taifa ,kwa hiyo yeye anatoa idea ambazo hazina tija na maslahi kwa taifa.Anadai Magufuli alikuwa hajawa mgombea Bado,kwani Lissu si alisema ikiwa watamuwekea pingamizi kwamba anafanya kampeni kabla ya wakati na yeye ndo atamuwekea Magufuli?
 
Inashangaza kwann itafutwe namna ya kipekee kumuondoa. Kwann haikuwezekana kumuondoa kabla kama alichokwa. Inashangaza ila sijauliza swali.
 
GENTAMYCINE,

Mwamba inabidi arudi kwenye nafasi yake ya RC kwani amefanya jiji lipoe sana kwa kuiacha hiyo nafasi.
 
Jamaa amepoteza wafuasi kindaki ndaki waliokuwa wanashinda humu JF.

Bia yetu, kipara Kipya & co.

Kifupi wanalumumbu wanakumbwa sikio halizid kichwa.
 
GENTAMYCINE,

Leo nimekupa na thanks kabisa. Aliye juu kwa majidai iko siku atateremka na mti unateleza hapandi tena. Aendelee kuimba mapambio tu. Mnyanyasaji mkubwa huyu. Machozi na masononeko ya wote walioumizwa naye zikiwemo familia zao hazitamwacha salama. Amechagua fungu bora la kusali kinafiki ili aombe toba kwa aliyotendea wanadamu wenzake.
 
"USIFURAHI JUU YANGU EE ADUI YANGU NIANGUKAPO MIMI NITASIMAMA TENA"japo mpuuzi hamumpendi ila mi namsamehe toka moyoni cheo Ni dhamana na Ni funzo kwa watawala wote Kuweni watu wema kwa raia
 
Kumbeba Bashite ilikuwa kubeba Bom la nyuklia kwenye uchaguz. Thanks God Magufuli kaona mapema akaona Bora awape mumlee huko dunian nahuku atakutana na walezi nadhani ajiandae kisaikolojia. Hakuwi hata kufuga kuku..
Bado mapema sana kusema hayo, huenda akarejeshwa kwa cheo cha uteuzi ili kuwaumbua wasiompenda.
 
Nilisikia kashinda UVCCM?au stori za vijiweni?
 
GENTAMYCINE,

Uwezi jua mwenzio unaweza sikia huyooooo dubai au Israel anawakilisha nchi. Teuzi zipo nyingi tu. Let's wait
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…