Uwezo wako wa Kufikri ni mdogo mno na ndiyo maana mara kwa mara huwa 'nakudharau' sana hapa Jamvini ( JF ) Hivi Mbunge wa Kuteuliwa huwa anakuwa na Mvuto kama yule Mbunge aliyechaguliwa na Wananchi kwa Kumuamini na Mapenzi yao Kwake? Hata kama 'Babaake' sijui atamteua kama ambavyo Wewe unataka ila ukweli utabaki pale pale kuwa katika 'Mchakato' mzima kuanzia Kutia Nia Kwake na hadi kusubiria Matokeo rasmi huku Dodoma hakuaminiwa na ametoswa kama hivi.
Na ili ujione kuwa kweli huna Akili ( yaani ni Mpumbavu Mwandamizi ) hapa Jamvini sasa kama kumbe huyo 'Mpuuzi' wako alijua kuwa 'Babaake' iwe isiwe katika zile nafasi zake Kumi ( 10 ) atamteua ilikuwaje akatia nia? Kwanini asingeendelea tu na Nafasi aliyokuwa nayo ili asubirie huko Kuteuliwa? Na kama alijua kuwa anaweza kuja 'Kuteuliwa' imekuwaje ametumia Pesa nyingi sana 'Kuhonga' Wajumbe huko Kigamboni?
Labda nimalizie tu kwa Kukuuliza Swali je, umeshajiuliza ni kwanini hivi sasa huyo 'Mpuuzi' ameanza 'Kukonda' na hata 'Nuru' yake inaanza Kupotea? Sikutaka Kukuambia hili ila sasa nakuambia kwamba hata 'Babaake' amefurahi Yeye 'Kuanguka' kwani 'alishamchoka' Kitambo sana na alikuwa anatafuta tu sababu Kumuondoa. Kuanzia sasa Tega Sikio kuna 'Mashtaka' dhidi yake yatatolewa ili 'Kummaliza' mazima kabisa.