Asanteni wana Dar es Salaam kwa kutomtii Katambi, hamjafanya biashara kama siku nyingine, ishara nchi haiko kwenye amani

Vipi nyie, wamewatii?!! Watu wapo barabarani?!!!🤣🤣🤣

Katambi anakosa ugali kutokana na hilo au viben ten vyenu vodaboda ndiyo wanaoteseka? Unajua matokeo yake? Kaburi lenu wenyewe unalochekea.
 
Watu kutokufanya biashara kama katambi maana yake ni kuwa wanaunga mkono maandamano
 
Hakuna anayefurahia mambo yanayoendelea hapa nchini, ufike wakati hawa wakujiita viongozi wajiulize sana kwanini nchi inaelekea huku na kwanini amani, upendo na mshikamano ulioasisiwa na waasisi wetu unasuasua ?
Hispaania
 
Back
Top Bottom