Asanteni wana Dar es Salaam kwa kutomtii Katambi, hamjafanya biashara kama siku nyingine, ishara nchi haiko kwenye amani

Nimewahulumia sana maaskari usiku kucha leo hawajalala wamekesha wanaandamana
Na wao wamekuhurumia wewe kuona mipango yenu yote mliyokuwa mnapanga usiku imefeli.....jamaa hawa hapa Kila mkigeuka. Poleni sana kwa kufeli, kongole nyiiiingi mno kwa makamanda wetu🙏🙏🙏
M/Mungu aendelee kuilinda kazi yao muhimu ya kulitetea taifa hili.
 
Buku saba unajiona kidogo?!! Muulize heche akwambie ukubwa wa buku 7.
Nimeamka mapema nione maandamano yenu makamanda, si yapo yanaendelea, au?!!!🤣🤣🤣
Wapi uliona kiongozi wa chadema katangaza maandamano au unajitia kidole na kunusa bwabwa wewe.
 
Serikali inaongozwa na failure, haiwezi kutatua hii changamoto ya kisiasa, hafai kabisa huyu mtu.

Jiulize Lissu yupo ndani zaidi ya,siku 100 na hakuna kinachofanyika ili haki itendeke, kuongozwa na failure kumetufikisha hapa.
 
Kazi ya kupindisha HAKI hakuna anayeiweza!
 
Watu kutokufanya biashara kama katambi maana yake ni kuwa wanaunga mkono maandamano
Acha kujidanganya, ikitokea fujo unataka mali zao ziharibiwe mpate la kuongea. Watu wamefunga biashara kujihami tu vurugu isije kuharibu mali zao. Si kwamba wanaunga mkono.

Nyinyi hizo siasa zenu mmeharibu ulaji wa watu wa siku nzima kisa kuhofia uharibifu, hawajauza kitu na wengine wana familia. Huu ni ubinafsi wa ajabu wa kujali maslahi ya kisiasa bila kuangalia ulaji wa wengine wa kihalali mnaouzuia.

Mtindo huu mnataka upande wenu kuja kuongoza hawahawa ambao mmewafanya wasipate ulaji siku nzima. Watawaamini vipi kama mnawajali? Ikiwa hizi siasa zenu hamkuangalia hali zao, mlijali maandamano bila kibali ambayo ni hatari kwa biashara zao.

Hapa mshaonesha jinsi gani mlivyo na shauku ya madaraka tu bila kujali hao.. wa kipato cha chini. Si kila mtu ni muumini wa harakafi zenu, kuonesha tu kwamba mnawajali kwa maslahi mapana ya taifa mmeshindwa. Kinamna hii mnajiweka mbali na wananchi kuliko kuwafanya wawe upande wenu.

Jiulizeni ni maandamano mangapi mmepanga toka yatokee machafuko ya Oktoba 29 na hakuna hata moja lililofanikiwa.

Maana yake watu washaondokwa imani nanyi ndiyo maana hawawasikilizi tena, na bado hili la leo wengine wameshindwa kupata pesa ya siku. Maana yake mnajiweka mbali nao zaidi.
 
Acha kuongea upumbavu. Tumefikaje hapa?
 
Hakuna anayefurahia mambo yanayoendelea hapa nchini, ufike wakati hawa wakujiita viongozi wajiulize sana kwanini nchi inaelekea huku na kwanini amani, upendo na mshikamano ulioasisiwa na waasisi wetu unasuasua ?
Ndiyo hasara ya kuongozwa na akili ndogo, mtu O Level alitaga unategemea kweli aweze kuongoza nchi kwa ufanisi?
 
Back
Top Bottom