Asanteni wana jamii forums wote kwa michango yenu ya kimawazo

Asanteni wana jamii forums wote kwa michango yenu ya kimawazo

farfat

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2021
Posts
258
Reaction score
498
Kwanza kabisa nipende kuwashukuru nyote kwa habari motomoto vituko,na vimbwanga vya maisha yetu ya kila siku.. kwa hakika jukwaa hili limenifunza mengi toka nijiunge mwaka 2021 mwezi June.

Hata pale nitakapo jiona mpweke ninaweza kuingia ktk jukwaa hili na kujihisi nimezungukwa na marafiki wanaoniambia ukweli na kunikosoa lkn pia kunipa moyo nakujiona kwamba wao ni watu muhimu kabisa..

ASANTENI TENA KWA MARA NYINGINE.

Binafsi sina marafiki wengi jambo ambalo nimelichagua mwenyewe lkn nyinyi marafiki zangu wa jamii forums nawapa heko kwa uwepo wenu..
 
Back
Top Bottom