Asanteni wote mnaonishukuru kwa msaada ninaotoa hapa JF

Asanteni wote mnaonishukuru kwa msaada ninaotoa hapa JF

Haitokuwa ajabu umeanzisha huu uzi kisha utajijibu mwenyewe, utajitukana mwenyewe na ukimaliza utajisifu mwenyewe.

NAhisi hizo sifa unazosema unapewa ni kutoka kwenye account zako mwenyewe hivyo unajishukuru mwenyewe. Mental illness is real, bipolar is real.
[emoji23][emoji23]
 
Another I'd ya jenta hi apa

Pyuwa talented
Fela
Gemu changer[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Me bwana nakukubali sana kwenye jukwaa letu la story la Entertainment huwa tunakubishia lakini baadae yanatokea tuliyobisha

Ishi sana Chizi mwenye maarifa yako
 
Another I'd ya jenta hi apa

Pyuwa talented
Fela
Gemu changer[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nashukuru sana members wengi wameonekana kupenda jinsi ninavyotoa mchango wa busara, hekima, upendo na akili ya kiwango cha juu humi JF.

Watu kadhaa wanasema nimeokoa maisha yao kipindi ambacho walikuwa wamekata tamaa na kuona bora wafe tu. Watatu walikuwa wamesha saga chupa wanasubiri tu kunywa, wanne walikuwa wamenunua sumu ya panya wakaamua kuacha kunywa wao na kuulia panya.

Wawili walikuwa wakajigongeshe kwenye magari ya mwendo kasi. Nashukuruni ila msinisifie sana mimi ni binadamu kama ninyi sema tu nimepata maarifa ambayo wengi hamkupata.

Mademu sasa ndo imekuwa kero kila mmoja anakuja akitaka nikamchape nao.... Naona hawa kama watanimaliza damu mwilini. Maana wanaenda simuliana inakuwa shida. Jamani tu jaliane pia. Afya ni muhimu. Na ule msemo wenu kuwa kama si JUHUDI ZAKO CHEESE MAARIFER JF INGEKUWA WAPI. Msiseme hivyo mtasababisha watu wanichukie.
Kuji-Promo kama loooteee. Umenikumbusha huu mwimbo: kijanaa acha kupiga mayoweee, acha watu wayaone wenyewee
 
Back
Top Bottom