Kwa kusaidia taasisi au vip?. Sheria ni kitu kingine na nguv ya kuifanya sheria kuwa butu ni kitu kingine.Sidhani kaka ni sawa kwa hiki kilchofanyika tena hadharani, Kampuni ya ASAS kutoa msaada wa Pikipiki na Gari kwa Jeshi la Polisi sio jambo la kukaliwa kimya. Hii ni taasisi ya Utoaji Haki inapotokea wanatoa msaada huo je wakipatwa na makosa yanayohitaji Polisi kuwawajibisha watachukua hatua sawa au watawalinda kwakuwa ni wadau wao?
Kwenye nchi zinazofuata misingi ya Utawala Bora hili jambo lilitakiwa kupingwa kwa nguvu zote. Kitendo hicho kinamaanisha ASAS watakuwa hawachukuliwi hatua kwa lolote.
Naomba unitagi akikujibu pleaseKwani yeye,ndy mtu wa kwanza kuwapa polisi msaada kama huo
Ova
Alternatively; wanaweza wakawa na mfuko kwa ajili ya huduma za jamii, ambao fedha zake watakuwa wanaipatia Serikali moja kwa moja huku wakiwa wamependekeza matumizi ya fedha hizo kwa serikali, like tunataka fedha zetu tulizotoa zitumike kwa ajili ya kununua magari ya Jeshi la PolisiSidhani kaka ni sawa kwa hiki kilchofanyika tena hadharani, Kampuni ya ASAS kutoa msaada wa Pikipiki na Gari kwa Jeshi la Polisi sio jambo la kukaliwa kimya. Hii ni taasisi ya Utoaji Haki inapotokea wanatoa msaada huo je wakipatwa na makosa yanayohitaji Polisi kuwawajibisha watachukua hatua sawa au watawalinda kwakuwa ni wadau wao?
Kwenye nchi zinazofuata misingi ya Utawala Bora hili jambo lilitakiwa kupingwa kwa nguvu zote. Kitendo hicho kinamaanisha ASAS watakuwa hawachukuliwi hatua kwa lolote.
Mbumbumbu kaziniSidhani kaka ni sawa kwa hiki kilchofanyika tena hadharani, Kampuni ya ASAS kutoa msaada wa Pikipiki na Gari kwa Jeshi la Polisi sio jambo la kukaliwa kimya. Hii ni taasisi ya Utoaji Haki inapotokea wanatoa msaada huo je wakipatwa na makosa yanayohitaji Polisi kuwawajibisha watachukua hatua sawa au watawalinda kwakuwa ni wadau wao?
Kwenye nchi zinazofuata misingi ya Utawala Bora hili jambo lilitakiwa kupingwa kwa nguvu zote. Kitendo hicho kinamaanisha ASAS watakuwa hawachukuliwi hatua kwa lolote.
Sidhani kaka ni sawa kwa hiki kilchofanyika tena hadharani, Kampuni ya ASAS kutoa msaada wa Pikipiki na Gari kwa Jeshi la Polisi sio jambo la kukaliwa kimya. Hii ni taasisi ya Utoaji Haki inapotokea wanatoa msaada huo je wakipatwa na makosa yanayohitaji Polisi kuwawajibisha watachukua hatua sawa au watawalinda kwakuwa ni wadau wao?
Kwenye nchi zinazofuata misingi ya Utawala Bora hili jambo lilitakiwa kupingwa kwa nguvu zote. Kitendo hicho kinamaanisha ASAS watakuwa hawachukuliwi hatua kwa lolote.
Kwani yeye,ndy mtu wa kwanza kuwapa polisi msaada kama huo
Ova
Police Kwan wako mbali na wananchi..police wakisaidiwa huoni kua Ni jamiii ndio imesaidiwa ..Kuna kipind watu walilalamika police wako kwenye mazingira magum ya kazi ..anatokea mtu was kutoa msaada kwa taifa lake bdo mnakosoaKimsingi hiyo itatafsirika kama ni rushwa wala si msaada. Serikali na vyombo vyake huwa havipokei msaada moja kwa moja hivyo. Kuna namna ya kutoa msaada toka mtu binafsi au taasisi isiyo ya kiserikali kwenda kwa serikali ikiwa msaada huo ni wa dharura. Wanaopaswa kupokea misaada ya namna hii ni halmashauri au taasisi nyingine ndogo ya serikali iliyo karibu na wananchi
kile ni chombo cha serikali, ni ukakasi kupokea msaada huo. Misaada kama hiyo hutolewa na nchi fulani kupitia balozi zao. Ikitokea mtu binafsi/kampuni au taasisi isiyo ya kiserikali inatoa msaada kwa shule au dispensari ya serikali huwa inapitishia kwenye halmashauri na kama ni maafa misaada hupitia ofisi ya waziri mkuu au chombo chenye jukumu la maafa cha serikali. How come kampuni kubwa la kimataifa liwe la nje au la ndani likatoa msaada wa zana za kijeshi bila mkono wa serikali yao itaelewakaje? Serikali ni kubwa haipaswi kupokea misaada toka kwa kampuni binafsi kwa mtindo huo. Ikumbukwe hiyo kampuni inalipa kodi serikaliniPolice Kwan wako mbali na wananchi..police wakisaidiwa huoni kua Ni jamiii ndio imesaidiwa ..Kuna kipind watu walilalamika police wako kwenye mazingira magum ya kazi ..anatokea mtu was kutoa msaada kwa taifa lake bdo mnakosoa