Haha we si unakijua bhanaTicha sijaona experience yako hapa.
Utam wa bia upo mdomoni mwa mnywajiSijawahi waelewa wajevi kabisa[emoji134][emoji134]
Bia ina ladha mbayaaaaa, chunguuu. Ptuuu.
Sijawahi kudate mnywaji ila nina marafiki wanywaji na wasio wanywaji kwa hiyo najua kuwa tabia ya umbea na kufuatilia mambo ya watu ni tabia binafsi ya mtu maana kuna wanywaji wambea na wasio wanywaji walioko busy na mambo yao
Yatakayokukuta utajijua mwenyewe, muhimu umekuwa warned.
Sitajikita kuitetea point yangu kwako.
Ila fanya self analysis, kama ulishawahi kudate mnywaji na ambaye si mnywaji utajua.
Inawwzekana ilikua kwako tu...!anywys..bora umuonye
Mkuu umetishaaaamkuu raha ya pombe ukunje sura au ufunge jicho ukipiga pafu,iyo tamu ni juicy au chai?
kazimue mkuuMkuu umetishaaaa
Nimepiga shot Moja ya John Mtembezi ready to kick start a daykazimue mkuu
Usijione kama wewe ndo mnywaji pekee nchi hii, kuna watu akiingia bar 1M inaishaBaada ya Pilika Za Kutwa Nzima Ya Leo Nikaona Jioni Hii Nikae Kilingeni Nipate Moja Moto Moja Baridi Niondoe Uchovu Mwingi Wa Kutumikisha Akili Na Mwili Wangu. Asee Bia Zinashuka Tuu No Tamu Balaa Yani Hapa Nahisi Poa Sana.
PS. Tafuta Pesa Kisha Tumia Urudishe Pesa Kwenye Mzunguko Na Wengine Wapate.
Niliacha 2015.lakin Mwaka huu mwez wa tatu nilirud kundini mana siku hiyo nilikuwa nimekutana na jamaa yangu anatoka Mtwara. Anapitia dar then tanga tutakaaaa pale PAPICHURO jamaa anagonga VITU nikaona ngoja nA MIMi nibust moja aiseee nilizitwanga sana Hadi Leo hii Pombe SiachiKulikoni mkuu??mbn umeacha??vyuma au??mm nipo hapa..kwnn usinitumie ??kama huna unaniomba tu mzee baba
na hii hali inaruhusu ,mimi nimeamua kuweka mvinyo ndichi,ila bado nawaza kwenda bar tungi linapenda misifaNimepiga shot Moja ya John Mtembezi ready to kick start a day
na hii hali inaruhusu ,mimi nimeamua kuweka mvinyo ndichi,ila bado nawaza kwenda bar tungi linapenda misifa
Exactly hasa akiwa na Yale MAJIN yanayonga Hennessy,JD Ha'po ka m lazima kakate Maana Yale yananyonyaaaa linaenda CHOONI linakamua limao linaMeza nA chumvi linarud counter Linaaanza upyaUsijione kama wewe ndo mnywaji pekee nchi hii, kuna watu akiingia bar 1M inaisha
hauko siriuz mkuu,likizo taimu imekuja na winter la hatarHayo mawazo ya kwenda Bar saa hizi mkuu yakanyage[emoji23][emoji38]
Exactly hasa akiwa na Yale MAJIN yanayonga Hennessy,JD Ha'po ka m lazima kakate Maana Yale yananyonyaaaa linaenda CHOONI linakamua limao linaMeza nA chumvi linarud counter Linaaanza upya
Ntashukuru mkuuNjoo nkuandalie nyaraka za kumfungulia kesi
Yaani yeye kaona mimi nafaidi saaana kunywa pombe,akaona bora anipumzishe.....mbaaaaf zake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unahis kakufanyia fitna
hahahahah dahMkuu kunywa tu. Hakuna wa kutuzuia. Hakia nani bia rafiki yangu nambari moja