Asee Bia In Tamu Sana

Asee Bia In Tamu Sana

Baada ya Pilika Za Kutwa Nzima Ya Leo Nikaona Jioni Hii Nikae Kilingeni Nipate Moja Moto Moja Baridi Niondoe Uchovu Mwingi Wa Kutumikisha Akili Na Mwili Wangu. Asee Bia Zinashuka Tuu No Tamu Balaa Yani Hapa Nahisi Poa Sana.

PS. Tafuta Pesa Kisha Tumia Urudishe Pesa Kwenye Mzunguko Na Wengine Wapate.
Usijione kama wewe ndo mnywaji pekee nchi hii, kuna watu akiingia bar 1M inaisha
 
Kulikoni mkuu??mbn umeacha??vyuma au??mm nipo hapa..kwnn usinitumie ??kama huna unaniomba tu mzee baba
Niliacha 2015.lakin Mwaka huu mwez wa tatu nilirud kundini mana siku hiyo nilikuwa nimekutana na jamaa yangu anatoka Mtwara. Anapitia dar then tanga tutakaaaa pale PAPICHURO jamaa anagonga VITU nikaona ngoja nA MIMi nibust moja aiseee nilizitwanga sana Hadi Leo hii Pombe Siachi
 
Usijione kama wewe ndo mnywaji pekee nchi hii, kuna watu akiingia bar 1M inaisha
Exactly hasa akiwa na Yale MAJIN yanayonga Hennessy,JD Ha'po ka m lazima kakate Maana Yale yananyonyaaaa linaenda CHOONI linakamua limao linaMeza nA chumvi linarud counter Linaaanza upya
 
Exactly hasa akiwa na Yale MAJIN yanayonga Hennessy,JD Ha'po ka m lazima kakate Maana Yale yananyonyaaaa linaenda CHOONI linakamua limao linaMeza nA chumvi linarud counter Linaaanza upya

Hafu hayo majini yakiwa peke yao yanakunywa konyagi ila ukijipendekeza na yenyewe yanabadili kinywaji
 
Mkuu kunywa tu. Hakuna wa kutuzuia. Hakia nani bia rafiki yangu nambari moja
 
Back
Top Bottom