kisokolokwinyo20
JF-Expert Member
- Apr 15, 2019
- 472
- 423
- Thread starter
-
- #161
tena konyagi kavuuuuuHafu hayo majini yakiwa peke yao yanakunywa konyagi ila ukijipendekeza na yenyewe yanabadili kinywaji
Nasikia ni shetani ndio mgunduzi na alicheka Sana maana alijua ameshawawezaBia mbili za mwanzo ni tamuu mnooo....
Aliegundua bia apunguziwe adhabu ya kaburi huko alipo.... Amen
haaha asee nayeye atakuwa ni mnywajiNasikia ni shetani ndio mgunduzi na alicheka Sana maana alijua ameshawaweza
Yaani yeye kaona mimi nafaidi saaana kunywa pombe,akaona bora anipumzishe.....mbaaaaf zake
Yanakukamia Balaaaaa aiseee Yaaani ni hatari kama hauko vizur waweza Kimbia bili.yalivyo majinga utasikia huyu rafk yangu anataka kinywaji.anakunywa SavannahHafu hayo majini yakiwa peke yao yanakunywa konyagi ila ukijipendekeza na yenyewe yanabadili kinywaji
Ndivyo mnavyojitetea hivyo kweli?Lakini watu wasio kunywa pombe nao wana mishe fulani za kufatilia maisha ya wengine, unafiki unafiki na wivu.
Hakikisha haunywi na hauwi na tabia za hivyo.
Unawaletea Balimi halafu unawachanganyia na COCACOLA hawamalizi glass mbili tayarii wanakuwa ndembendembeYanakukamia Balaaaaa aiseee Yaaani ni hatari kama hauko vizur waweza Kimbia bili.yalivyo majinga utasikia huyu rafk yangu anataka kinywaji.anakunywa Savannah
Hahaha Binti wa Counter mtoto wa kisambaauyo ni mmamsapu mkuu au bamedi hapo karibu na kona ya kureply
Wewe ziendekeze hizo pombe tu, kwani PAPUCHI inasababisha kisukari?Bia ni tamu kuliko hata Papuchi aisee
Ndivyo mnavyojitetea hivyo kweli?
Mbona umetaja tabia za walevi sasa.
Hapana hizo tabia sijawahi kuziona kwa wasiokunywa bali walevi.Kama umeshawahi kudate watu hao utakubali kwamba ambao hawanywi ni wasumbufu, gubu sana, halafu muda mwingi mnagombania remote wakitoka kazini.
Hapana hizo tabia sijawahi kuziona kwa wasiokunywa bali walevi.
Kwani uongo hamjawapunja? Muwape tu hizo soda zao 10 kama anataka hivyo maana ni haki yake bwana [emoji23][emoji23]Wewe najua ni mbishi, hata kama unajua ni kweli utabadili matokeo.
Fikiria mkienda kwenye harusi, wanavyolalamika eti wanywa bia wanawapunja, mtu anataka kunywa soda 10 ili alingane na wa bia.
Hizo kauli huwa mnazitumia tu walevi kuwaponda waso kunywa kwa kuona kama wanawafuatilia.Wewe najua ni mbishi, hata kama unajua ni kweli utabadili matokeo.
Fikiria mkienda kwenye harusi, wanavyolalamika eti wanywa bia wanawapunja, mtu anataka kunywa soda 10 ili alingane na wa bia.
Worse, mimba na HIVWewe ziendekeze hizo pombe tu, kwani PAPUCHI inasababisha kisukari?
Hizo kauli huwa mnazitumia tu walevi kuwaponda waso kunywa kwa kuona kama wanawafuatilia.
Ila nimewawaza tu walevi ninaowafahamu nikajisemea hiiiiiii[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Kweli, walevi hawana nongwa. Ukitaka kujua wasiokunywa ni wanaa, nendeni kwenye party labda ya kiofisi.
Yaliyofanyika kesho unayakuta ofisini, na wanaoyaleta ni ambao hawakunywa.
Hata humu utakuta wanaoleta issue za PM za kimahusiano utakuta wengi ni wale wasiokunywa, we chunguza tu utaona ni wambeya sana, wivu wivu na uchoyo.
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Mmmmmh!!
Wamenijia watano kichwani alafu wote nawaonaga kwenye nyuzi za walevi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85]
Anyway hizi tabia unazozungumzia ziko kwa wote tu walevi na wasio walevi, kuwaangushia jumba bovu wasio walevi pekee hapana jamani[emoji23]
Haaaa.....eti bia mwereka[emoji3]upate na mbuzi katoliki sasa ndo utaikubali soda mwereka
Haya bwana.Dah, sawa bana.
Anza kufanya ufatiliaji kuanzia sasa, utaona hizo tabia.
Ingawa ni kweli unachosema, ila wanywaji wana angalau maana muda mwingi wanakaa wanaume pamoja na kuongea vitu vya kiume.
Hawa wengine muda mwingi kampani zao ni za tofauti, ndiyo maana wanajikuta mijadala yao ni ya tofauti.