Asee Bia In Tamu Sana

Asee Bia In Tamu Sana

Yanakukamia Balaaaaa aiseee Yaaani ni hatari kama hauko vizur waweza Kimbia bili.yalivyo majinga utasikia huyu rafk yangu anataka kinywaji.anakunywa Savannah
Unawaletea Balimi halafu unawachanganyia na COCACOLA hawamalizi glass mbili tayarii wanakuwa ndembendembe
 
Hapana hizo tabia sijawahi kuziona kwa wasiokunywa bali walevi.

Wewe najua ni mbishi, hata kama unajua ni kweli utabadili matokeo.

Fikiria mkienda kwenye harusi, wanavyolalamika eti wanywa bia wanawapunja, mtu anataka kunywa soda 10 ili alingane na wa bia.
 
Kwani uongo hamjawapunja? Muwape tu hizo soda zao 10 kama anataka hivyo maana ni haki yake bwana [emoji23][emoji23]
Mbona hata walevi huwa wanalalamika bia zikiwekwa chache? Ila mnawaona wasio walevi tu?
 
Wewe najua ni mbishi, hata kama unajua ni kweli utabadili matokeo.

Fikiria mkienda kwenye harusi, wanavyolalamika eti wanywa bia wanawapunja, mtu anataka kunywa soda 10 ili alingane na wa bia.
Hizo kauli huwa mnazitumia tu walevi kuwaponda waso kunywa kwa kuona kama wanawafuatilia.
Ila nimewawaza tu walevi ninaowafahamu nikajisemea hiiiiiii[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kweli, walevi hawana nongwa. Ukitaka kujua wasiokunywa ni wanaa, nendeni kwenye party labda ya kiofisi.

Yaliyofanyika kesho unayakuta ofisini, na wanaoyaleta ni ambao hawakunywa.

Hata humu utakuta wanaoleta issue za PM za kimahusiano utakuta wengi ni wale wasiokunywa, we chunguza tu utaona ni wambeya sana, wivu wivu na uchoyo.
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Mmmmmh!!
Wamenijia watano kichwani alafu wote nawaonaga kwenye nyuzi za walevi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85]

Anyway hizi tabia unazozungumzia ziko kwa wote tu walevi na wasio walevi, kuwaangushia jumba bovu wasio walevi pekee hapana jamani[emoji23]
 
Dah, sawa bana.

Anza kufanya ufatiliaji kuanzia sasa, utaona hizo tabia.

Ingawa ni kweli unachosema, ila wanywaji wana angalau maana muda mwingi wanakaa wanaume pamoja na kuongea vitu vya kiume.

Hawa wengine muda mwingi kampani zao ni za tofauti, ndiyo maana wanajikuta mijadala yao ni ya tofauti.
 
Haya bwana.
 
Back
Top Bottom