Asee Bia In Tamu Sana

Asee Bia In Tamu Sana

Kwa wanawake hii haiwahusu.

Wanaume wasio kunywa pombe hili linawahusu sana.
Hata kwa wanaume naona bado mnawasingizia, wanywa pombe mna mambo ya kujishtukia kama ulivyosema mwanzo kuwa mnatamani mngeacha ila hamuwezi kwa hiyo mtu yeyote akifanya kitu kidogo tu mnaona mmeguswa. Ni kama upishane na mtu mwenye kidonda halafu uteme mate, hata kama uko na ishu zako utaonekana umetema kwa ajili yake
 
Sitajikita kuitetea point yangu kwako.

Ila fanya self analysis, kama ulishawahi kudate mnywaji na ambaye si mnywaji utajua.
 
Sijawahi kudate mnywaji ila nina marafiki wanywaji na wasio wanywaji kwa hiyo najua kuwa tabia ya umbea na kufuatilia mambo ya watu ni tabia binafsi ya mtu maana kuna wanywaji wambea na wasio wanywaji walioko busy na mambo yao
 
Back
Top Bottom