Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23] kweli eeh?mnakosa uhondooo
[emoji23][emoji23][emoji23] kweli eeh?
Amen...Siyo kweli, endelea kunywa zako soda/juice.
Niambie hawa....😂Dyadyaaa
Amen...
Wanywaji wanataka kila mmoja awe kama wao.
Ila kimoyo moyo wanawatamani wasio kunywa.
Ndiyo maana unakuta wanaweza kusema wanaacha mara wanarudia tena.
Ni kweli, halafu full kujishtukia na kujitetea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja nmtagNiambie hawa....[emoji23]
Hizo tabia hazina uhusiano wowote na kutokunywa pombe, ndio hayo hayo mambo ya kujishtukiaLakini watu wasio kunywa pombe nao wana mishe fulani za kufatilia maisha ya wengine, unafiki unafiki na wivu.
Hakikisha haunywi na hauwi na tabia za hivyo.
Mfyuuuuu😂😂😂jishaue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja nmtag
Hizo tabia hazina uhusiano wowote na kutokunywa pombe, ndio hayo hayo mambo ya kujishtukia
Hii nayo nitajaribu Cocacola na JD...ila na aliyosema manengelo nataka nijaribu hata mara moja tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mfyuuuuu[emoji23][emoji23][emoji23]jishaue
Yatakayokukuta utajijua mwenyewe, muhimu umekuwa warned.
Hata kwa wanaume naona bado mnawasingizia, wanywa pombe mna mambo ya kujishtukia kama ulivyosema mwanzo kuwa mnatamani mngeacha ila hamuwezi kwa hiyo mtu yeyote akifanya kitu kidogo tu mnaona mmeguswa. Ni kama upishane na mtu mwenye kidonda halafu uteme mate, hata kama uko na ishu zako utaonekana umetema kwa ajili yakeKwa wanawake hii haiwahusu.
Wanaume wasio kunywa pombe hili linawahusu sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata kwa wanaume naona bado mnawasingizia, wanywa pombe mna mambo ya kujishtukia kama ulivyosema mwanzo kuwa mnatamani mngeacha ila hamuwezi kwa hiyo mtu yeyote akifanya kitu kidogo tu mnaona mmeguswa. Ni kama upishane na mtu mwenye kidonda halafu uteme mate, hata kama uko na ishu zako utaonekana umetema kwa ajili yake
Sijawahi kudate mnywaji ila nina marafiki wanywaji na wasio wanywaji kwa hiyo najua kuwa tabia ya umbea na kufuatilia mambo ya watu ni tabia binafsi ya mtu maana kuna wanywaji wambea na wasio wanywaji walioko busy na mambo yaoSitajikita kuitetea point yangu kwako.
Ila fanya self analysis, kama ulishawahi kudate mnywaji na ambaye si mnywaji utajua.