Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Ila kweli wasiokunywa ni wambea na masnitch
Mlevi / mnywaji hana muda yuko busy
Hahaha, huwa tunawasema hivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila kweli wasiokunywa ni wambea na masnitch
Mlevi / mnywaji hana muda yuko busy
[emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]umenichekesha
Mi situmii kilevi chochote but napenda walevi
Jumapili Njoooooo unione MIMi mlevi pale SAMAKISAMAKI mliman city[emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]umenichekesha
Mi situmii kilevi chochote but napenda walevi
Wanaburudisha sioJumapili Njoooooo unione MIMi mlevi pale SAMAKISAMAKI mliman city
Utakuwa unafata vingi pale samaki sio bureJumapili Njoooooo unione MIMi mlevi pale SAMAKISAMAKI mliman city
Vizuri, mimi nakunywa ila pombe siipendi kabisa.
[emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]umenichekesha
Mi situmii kilevi chochote but napenda walevi
nini maana ya kisokolokwinyo??
Hennessy onlyUnaUtakuwa unafata vingi pale samaki sio bure
Hahahha unatamba mkuuHennessy only
Sitambi mkuuHahahha unatamba mkuu
sawaaaaaSitambi mkuu
Ambao hatujawahi kuonja pombe tangu kuzaliwa tunakomenti wapi?
Anza na Jack Daniels na coke baridi naamini utaipendaAah mie sijawahi kuzielewa pombe ila nitajaribu hiyo ya kumix na coca
Anza na Jack Daniels na coke baridi naamini utaipenda
Hata tukianzisha walevi wanatuvamia kuja kutusimangaTuna comment hapa hapa kama nilivyofanya mimi, mana tukianzisha uzi wetu hatupati wachangiaji kwani wengi wao wako huku
hahahHata tukianzisha walevi wanatuvamia kuja kutusimanga