Hauna tiba wala chanjo. Flight attendant wa KLM kakutwa nayo na abiria wawili wa KLM wamethibitishwa wanayo. Inasemekana hadi huko Spain.Hauna tiba?
Nayo inaua km covid?Hauna tiba wala chanjo. Flight attendant wa KLM kakutwa nayo na abiria wawili wa KLM wamethibitishwa wanayo. Inasemekana hadi huko Spain.
Cape Verde walikataa hiyo meli isitie nanga. Sasa hivi inaelekea Spain kisiwa cha Tanarife wananchi wamepanic wanaiomba serikal7 isiruhusu hiyo meli.
Covid ilianzaga hivihivi. Afadhali covid hii hantavirus ni kuharisha na kukohoa
Bora iwe hivyo make wa kwangu ni mrefu sio powaWanasema mwanaume ukipata hicho kirusi uume wako utapungua kwa cm 3 ππ
ChaiHuu ugonjwa mpya wa virusi vya panya Hanta Virus baada ya wiki itaondoka na wengi.
Abiria wa KLM inasemekana wengi wanayo na KLM kila siku inatua Kilimanjaro na Dar.
Asee tumekwisha. Niko zangu hapa Ghetto natetemeka balaa isingekuwa msaada wa sigara na ba sijui ingekuwaje yani napanic balaa.
Ishafika bongo na Afrika nauhakika sema nigger ni mbishi ana immune ya kibishi ndio maana we are able to survive in any harsh conditions.
Mungu tusaidie.
Ni Cm au inch?.Wanasema mwanaume ukipata hicho kirusi uume wako utapungua kwa cm 3 ππ
Basi inapunguza kiduchuπNi Cm au inch?.
Cm tatu huwez his tofauti .
Hakuna wa namna hii. Hebu koma. ππππBasi inapunguza kiduchuπ
We unataka iwe inch unawatakia nini wale ambao wana inch tatu tayaliππ
Nikuwekee pichaπ€£Hakuna wa namna hii. Hebu koma. ππππ
Hebu niache kwanza , sitak ... πππhebu lala pia. Mm ndio nafika home hapa. Nimetoka kupombeka.Nikuwekee pichaπ€£
Ujionee maajabu?
Hutaki tena π we hayaHebu niache kwanza , sitak ... πππhebu lala pia. Mm ndio nafika home hapa. Nimetoka kupombeka.
Cuba nying sana ninayo .Hutaki tena π we haya
Unarudi now na wifi anafungua siku utalala njee
Ebu onja kidogo hicho chakula kingine we ikilewa hupati vibeπCuba nying sana ninayo .
Nina funguo zote ...
Na alichopika nakula. Na ndio nimemaliza hapa .
Ila Chakula kile kingne sili leo ππππ.
Sio kila siku unakula kula tu. Aagh.
Bro, hebu zingatia neno sio Kila siku πππππ.Ebu onja kidogo hicho chakula kingine we ikilewa hupati vibeπ
Au unakunywa brutal πββοΈπββοΈ
Mimi tena bro kweli gambe limekibari π₯Bro, hebu zingatia neno sio Kila siku πππππ.
M out . Naingia Ikulu sishiki simu kuchat . ππππ