Asernal asipofungwa chini ya golil 6 na Barcelona naachana na mpira

Asernal asipofungwa chini ya golil 6 na Barcelona naachana na mpira

Kwanza majina ya timu na wachezaji huyajui
unaonekana sio mfuatiliaji wa mpira
 
Kwa

Kwani Arsenal hajawahi kumfunga Barca?

Kwa msimu huu tu, Barca japo kafunga magoli 91, keshatunguliwa mara 25. So; anafungika tu. Miaka yote miezi kama hii Arsenal huwa ameshayumba sana. Msimu huu ni tofauti sana na confidence ya wachezaji ipo juu.

Baada ya kusema hayo machache nataka kusema kwamba nitakuwa na furaha kubwa kama Arsenal atabamizwa bao 6.
Ahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha
Mkuu umenichekesha saaaaaaaaaana
Nisipokupa like niondolewe Jf wallah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tatizo lenu wepesi kutoa ahadi ila utekelezaji wake sifuri!!!
 

Attachments

  • 1456286434821.jpg
    1456286434821.jpg
    105.4 KB · Views: 31
Always mjitahidi kuelewa maana ya mashindano,kama barcelona watashinda kwanini wanawashindanisha?
Subirini mchezo uchezwe ndio mje na kelele zenu,na nyie ni lazima wanazi wa chelsea na man U,mashabiki wa hovuo sana nyie...[HASHTAG]#COYG[/HASHTAG]
Mchezo ulishachezwa last nyt,tupe matokeo kwanza ndo mjadala uendelee
 

Attachments

  • 1456286551675.jpg
    1456286551675.jpg
    28.6 KB · Views: 27
haya mambo ya mpira yalishapita,tukafanye maendeleo sasa.
 
Kwanza majina ya timu na wachezaji huyajui
unaonekana sio mfuatiliaji wa mpira
kumbe kiongozi ni fan wa Asernal ?pole aisee level za Gunners ni Swansea
 
Sijui hii Derby ya North London itatuacha salama... Twaweza kula kichapo cha mbwa mwizi!!!!!
 
Sasa mi nasemaje sitaki maneno mengi barcelona kesho anafungwa mwenye mzigo aweke mezani elfu 50 kwa elfu 50 kama.uwezi kaa mbali ila masharti ni haya goli za penati haziesabiwi na wala timu moja ikishapewa kadi nyekundu pia haiesabiwi yaani kila timu itimie na penati zisiwepo namba yangu hyo 0766047815
Safi sana.Kamanda wa ukweli ni mjasiri kama ww.
 
Back
Top Bottom