Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AhahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaKwa
Kwani Arsenal hajawahi kumfunga Barca?
Kwa msimu huu tu, Barca japo kafunga magoli 91, keshatunguliwa mara 25. So; anafungika tu. Miaka yote miezi kama hii Arsenal huwa ameshayumba sana. Msimu huu ni tofauti sana na confidence ya wachezaji ipo juu.
Baada ya kusema hayo machache nataka kusema kwamba nitakuwa na furaha kubwa kama Arsenal atabamizwa bao 6.
Hata kama Mpira unadunda lakini siyo baharini.Fact gani hiyo ya Barca kufungwa na Arsenal? Au kwa fact ya kusema kwamba mpira unadunda?
Sawa mtabiriarsenal anafungwa.. hata goli la penalty lakini atafungwa.....
nina waiwasi kutakuwa na red card
Goli sita ziko wapi?Utanikuta kule kwenye ule uzi wenu wa Arsenal.
Duuh,wana magoli mangapi?Hizi namba hapa chini zinazungumza ,MSN wana magoli mengi kushinda team nzima ya Asernal
View attachment 324826
Mchezo ulishachezwa last nyt,tupe matokeo kwanza ndo mjadala uendeleeAlways mjitahidi kuelewa maana ya mashindano,kama barcelona watashinda kwanini wanawashindanisha?
Subirini mchezo uchezwe ndio mje na kelele zenu,na nyie ni lazima wanazi wa chelsea na man U,mashabiki wa hovuo sana nyie...[HASHTAG]#COYG[/HASHTAG]
Haya bwana.... Tusubiri kidogo!!!!mkuu ahadi bado inaendelea on aggregate hadi pale camp Nou
Safi sana.Kamanda wa ukweli ni mjasiri kama ww.Sasa mi nasemaje sitaki maneno mengi barcelona kesho anafungwa mwenye mzigo aweke mezani elfu 50 kwa elfu 50 kama.uwezi kaa mbali ila masharti ni haya goli za penati haziesabiwi na wala timu moja ikishapewa kadi nyekundu pia haiesabiwi yaani kila timu itimie na penati zisiwepo namba yangu hyo 0766047815