Asernal asipofungwa chini ya golil 6 na Barcelona naachana na mpira

Umesha achana na mpira? Nadhir zingine ni za ngeseki.
 
Ndugu yangu Mwekundu: Arsenal HAJAFUNGWA magoli SITA: je, UMEACHANA na mpira? Tafadhali, kama hujaacha, TII dhamira yako. Tafadhali!
 
Ndugu yangu Mwekundu: Arsenal HAJAFUNGWA magoli SITA: je, UMEACHANA na mpira? Tafadhali, kama hujaacha, TII dhamira yako. Tafadhali!
Siachi team yangu imeshinda goal 5
 
Reactions: PNC
Wewe ni lipumbavu maana unafanya analysis ya kimbumbumbu.

Shame upon u mbombo wewe
 
Haaa haaa duh wabongo tunajifanya wachambuzi balaa tunameza na kukariri kidogo basi tunakuja mbio kueleza utumbo mtupu.
Hivi goli sita(6) zilipatikana sio kila mnaloambiwa lazima mliamini kuna time inabidi utumie akili yako Agg 5-1.
 
Reactions: PNC
EPL ni ligi dhaifu siku hizi ukiangalia robo finali ya uefa na Europa league kuna jumla ya timu sita za laliga hii ni kudhihirisha kua Spain bado ni wababe Europe
 
Umeachana Na mpira??
Mkuu aache mpira wapi,instead amekuwa mkali huyo.

Gang Chomba alituambia kuna kipindi fulani hivi,mwekundu kama kawaida yake kuna utabiri alitoa lakini ukabuma akabadili ID akaenda jukwaa la dini akawa anatoa watu mapepo,nayo yakagoma kutoka sasa ndo karudi tens huku.

Kila utabiri anaoutoa unagonga mwamba, kama Pele vile.
 
mkuu ahadi ulitoa wewe, unaanza kupanick
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…