Asernal kushika nafasi ya 7 msimu huu

Asernal kushika nafasi ya 7 msimu huu

Sema nasikia juve wanatoa hela kwa Sanchez asa sijui ndio nini hiki?
 
Daaah. Watu wana maneno.
Mchungaji mmoja baada ya kuwafungisha ndoa "MASHOGA" wawili alipata wakati mgumu kutamka kuwa "sasa ninyi ni MKE na MUME" atafanyaje wakati wote ni wanaume? mchungaji akapiga moyo konde na kusema "tangu sasa ninyi ni MAN UNITED"
 
Kama Liverpool wana jembe la kijerumani,Man United na City wana matingatinga yapo na Chelsea wana nondo yao mimi sijui jamaa zangu wa Asernal watafia wapi, hakika safari yao msimu huu majanga.
Sasa ndio umeongea nini?

Unadhani EPL inachezewa gazetini kama mpira wa Simba? Tangu kuundwa kwake, Arsenal haijawahi kushika hizo nafasi za Man U
 
Umeelewa ulicho ulizwa? Au na wewe ni keilaza kama v.laza wengine?
Wewe ndo utakuwa kil.aza umeelewa kichwa cha habari kimeandikwaje? Msimu huu arsenal anatashika nafasi ya saba na ww unaongelea mafanikio vitu viwil tofauti pamoja na usajil wenu mnaoufanya lakn bado arsenal hajawai toka top four na kila msimu anacheza UEFA iko hivyo hata kwa timu yako?
 
Sasa ndio umeongea nini?

Unadhani EPL inachezewa gazetini kama mpira wa Simba? Tangu kuundwa kwake, Arsenal haijawahi kushika hizo nafasi za Man U
Waaache wajipe moyo badala ya kuwaza timu yao wanaiwaza arsenal inaonyesha ni kiasi gani wanaitamani
 
Ndugu yangu msimu huu epl inakua kama dimbwi la kambale, wote wana ndevu hajulikan mkubwa nani wala mdogo nani... Nadhan itakua ndo best epl ever...
Watani wangu arsenal na kocha wenu wa mwendokas jipangeni kisaikolojia kabisaaaaaaa......
ha ha ha
 
2013/14 - 4th position
2014/15 - 3rd position
2015/16 - 2nd position
2016/17 - C

....Subiri uone!!
Wambie sizinga, wenyewe wanajina makubwa bt position duuu, epl this year must be controlled by arsenal da gunners
 
Maadui wa arsenal wameanza kutoa kauli hizi miaka 10 iliopita, lakini wanaishia kuporomoka wao na kuiacha arsenal pale pale. Kwa taarifa yako arsenal ndio klabu pekee ya EPL ambayo haijawahi kushindwa kuqualify UCL katika seasons 20 zilizopita. Toeni utabiri wenu, ukweli mtaupata May next year Mungu akituweka hai.
Then, mnaishia kutoka round 16?!

Nyie bhana!

Yaani huwa najua nina point 6 au 4 ninapoanza msimu.

Kama mnafungwa na akina Lingard, Rashford mtaiweza Man U ya Mourinho kweli.!?

Nahesabu nina points 6 tyr.
 
Wewe ndo utakuwa kil.aza umeelewa kichwa cha habari kimeandikwaje? Msimu huu arsenal anatashika nafasi ya saba na ww unaongelea mafanikio vitu viwil tofauti pamoja na usajil wenu mnaoufanya lakn bado arsenal hajawai toka top four na kila msimu anacheza UEFA iko hivyo hata kwa timu yako?
Unajisifia una demu mkali alafu hujawahi mkonya, uefa mnacheza kila mwaka mnazo ngapi?
 
2013/14 - 4th position
2014/15 - 3rd position
2015/16 - 2nd position
2016/17 - C

....Subiri uone!!

2016/2017 - 1st position...the tehteh teh hesabu hii ni rahisi sana...
 
Then, mnaishia kutoka round 16?!

Nyie bhana!

Yaani huwa najua nina point 6 au 4 ninapoanza msimu.

Kama mnafungwa na akina Lingard, Rashford mtaiweza Man U ya Mourinho kweli.!?

Nahesabu nina points 6 tyr.
Aaah lala ukuee ww man u nayo timu kah!
 
Bila shaka umeshindwa hoja soma heading ya mtoa maada urudi tena
Mnajisifia kila mwaka mnacheza uefa kwamba ndio mafanikio yenu, wakati wenzenu hawajisifii kushiriki wanajisifia kuibeba hiyo ndoo.

Kama kushiriki ni mafanikio kuliko kuibeba hiyo uefa HONGERENI
 
Ukiwa mshabiki wa mpila Unaweza Sema Hayo unayosema lakini ukiwa mwanasoka kamwe hauwezi ongea ujinga
 
Jamani mimi ni Arsenal pale mnapoitabiri kufanya vibaya ndio wanafanya vema pale mnaitabiria kufanya kweli ndio wanatuangusha kumbuka conte na gadiola ni wageni wao ndio watakaogombania nafasi ya nne sio Arsenal
 
Back
Top Bottom