Asernal kushika nafasi ya 7 msimu huu

Asernal kushika nafasi ya 7 msimu huu

Mchungaji mmoja baada ya kuwafungisha ndoa "MASHOGA" wawili alipata wakati mgumu kutamka kuwa "sasa ninyi ni MKE na MUME" atafanyaje wakati wote ni wanaume? mchungaji akapiga moyo konde na kusema "tangu sasa ninyi ni MAN UNITED"
Wewe unaniumiza sana mbavu
 
Arsenal inatakiwa ipigwe vipigo vya mbwa mwizi ili Wenger atimuliwe , wachunguzi wanadokeza kwamba hata kudumaa kwa timu ya taifa ya England kunatokana na gundu la huyu mzee .
 
kama Arsenal itakuwa ya saba timu kama Man U,chelsea,Man city,liverpool na spurs hazitasalimika kwani hata msimu wa 2015/2016 Arsenal mliisema hivyohivyo mwisho wa ligi tukaona jinsi timu zenu zilivyotia aibu,Man U alikuwa anapigana vikumbo na WestHam na Southamton kucheza Europe ligi,Man City chupu chupu kukosa nafasi ya nne,liverpool na chelsea ni aibu kuwasemea,wache waseme wenyewe.siku Arsenal itakuwa ya saba nyie mtashuka daraja.
 
Kama Liverpool wana jembe la kijerumani,Man United na City wana matingatinga yapo na Chelsea wana nondo yao mimi sijui jamaa zangu wa Asernal watafia wapi, hakika safari yao msimu huu majanga.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
MSICHAMBUE MPIRA KAMA HAMJUI MPIRA.... TANGU KUANZISHWA KWA HII KLABU. HAIJAWAHI MALIZA LIGI NJE YA NAFASI YA 6.
.
.
.
.
.
.
ENDELEENI KUOTA NDOTO TAMU.
 
Mchungaji mmoja baada ya kuwafungisha ndoa "MASHOGA" wawili alipata wakati mgumu kutamka kuwa "sasa ninyi ni MKE na MUME" atafanyaje wakati wote ni wanaume? mchungaji akapiga moyo konde na kusema "tangu sasa ninyi ni MAN UNITED"
.
.
.
.
.
.
UTAPIGWA NA WENYE TIMU.... HAHAHA. WANATIWA KIBURI NA USAJILI WA ZLATAN..
.
.
.
.
 
Kwahyo kucheza uefa ndio mafanikio mnaojivunia????
.
.
.
.
.
.
. UEFA CHAMPIONS LEAGUE = KWA KISWAHILI INAITWA "KLABU 'BINGWA' BARANI ULAYA".

KISICHO BINGWA HAKISHIRIKI... JIANDAENI KUKAA MACHO ALHAMIS NA IJUMAA USIKU..
.
.
.

mafanikio yapi unayosema maana kama ni mafanikio arsenal ndo timu yenye mafanikio kuliko timu zote uingerza,toka kuanzishwa kwake haijawahi kushuka daraja,haijawah kukosa uefa kombe linaloiingizia kipato kikubwa,haijawah kununua mchezaji yeyote ikamuuza kwa bei ya hasara,imejenga uwanja wa kisasa uingereza kuliko club yoyote.
...

WENGINE WANAHESABU MAFANIKIO YA VIKOMBE TU..... vilaza wako wengi bongo.
.
.
.
 
.
.
.
.
.
.
. UEFA CHAMPIONS LEAGUE = KWA KISWAHILI INAITWA "KLABU 'BINGWA' BARANI ULAYA".

KISICHO BINGWA HAKISHIRIKI... JIANDAENI KUKAA MACHO ALHAMIS NA IJUMAA USIKU..
.
.
.

Kwahyo kushiriki ni mafanikio?
Arsenal hamnusi kitu kwa timu kama manchester kimafanikio ukianza na fanbase, financial, stadium, trophies, n.k mnachojisifia kwa sasa ni rank za uefa and nothing else labda na ushindi wa kwenye twitter pools
 
Kwahyo kushiriki ni mafanikio?
Arsenal hamnusi kitu kwa timu kama manchester kimafanikio ukianza na fanbase, financial, stadium, trophies, n.k mnachojisifia kwa sasa ni rank za uefa and nothing else labda na ushindi wa kwenye twitter pools

mafanikio yapi unayosema maana kama ni mafanikio arsenal ndo timu yenye mafanikio kuliko timu zote uingerza,toka kuanzishwa kwake haijawahi kushuka daraja,haijawah kukosa uefa kombe linaloiingizia kipato kikubwa,haijawah kununua mchezaji yeyote ikamuuza kwa bei ya hasara,imejenga uwanja wa kisasa uingereza kuliko club yoyote.
 
Msimu huu bingwa ni Man.
2. Man City
3. Liverpool
4. Spurs

7. Arsenal.
 
kama Arsena ikishika hiyo nafasi ina maana kuwa Mwantesa united na Chelsick wanashuka daraja..
 
Takuma Asano hujamuona kwano?
1468952457015.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom