Midumare Ngatuni Iwato
JF-Expert Member
- Jul 13, 2016
- 1,653
- 2,045
Wewe unaniumiza sana mbavuMchungaji mmoja baada ya kuwafungisha ndoa "MASHOGA" wawili alipata wakati mgumu kutamka kuwa "sasa ninyi ni MKE na MUME" atafanyaje wakati wote ni wanaume? mchungaji akapiga moyo konde na kusema "tangu sasa ninyi ni MAN UNITED"
.Kama Liverpool wana jembe la kijerumani,Man United na City wana matingatinga yapo na Chelsea wana nondo yao mimi sijui jamaa zangu wa Asernal watafia wapi, hakika safari yao msimu huu majanga.
.Mchungaji mmoja baada ya kuwafungisha ndoa "MASHOGA" wawili alipata wakati mgumu kutamka kuwa "sasa ninyi ni MKE na MUME" atafanyaje wakati wote ni wanaume? mchungaji akapiga moyo konde na kusema "tangu sasa ninyi ni MAN UNITED"
.Kwahyo kucheza uefa ndio mafanikio mnaojivunia????
...mafanikio yapi unayosema maana kama ni mafanikio arsenal ndo timu yenye mafanikio kuliko timu zote uingerza,toka kuanzishwa kwake haijawahi kushuka daraja,haijawah kukosa uefa kombe linaloiingizia kipato kikubwa,haijawah kununua mchezaji yeyote ikamuuza kwa bei ya hasara,imejenga uwanja wa kisasa uingereza kuliko club yoyote.
Kwahyo kushiriki ni mafanikio?.
.
.
.
.
.
. UEFA CHAMPIONS LEAGUE = KWA KISWAHILI INAITWA "KLABU 'BINGWA' BARANI ULAYA".
KISICHO BINGWA HAKISHIRIKI... JIANDAENI KUKAA MACHO ALHAMIS NA IJUMAA USIKU..
.
.
.
Kwahyo kushiriki ni mafanikio?
Arsenal hamnusi kitu kwa timu kama manchester kimafanikio ukianza na fanbase, financial, stadium, trophies, n.k mnachojisifia kwa sasa ni rank za uefa and nothing else labda na ushindi wa kwenye twitter pools
Takuma Asano hujamuona kwano?Na hajasajiri Vifaa anasubiri viokote
Takuma Asano hujamuona kwano?