N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,427
- 10,905
Swali:
Ningependa kujua kati ya Asphalt na Tarmac, ipi inatumika zaidi nchini?
Na ipi ina manufaa zaidi kwa mazingira yetu, hali ya hewa, na gharama za ujenzi na matengenezo?
Pia, je, kuna mpango wowote wa Tanzania kutumia teknolojia mpya kama barabara zinazozalisha umeme (solar roads) au lami inayoweza kujikarabati yenyewe (self-healing asphalt)?
Ikiwa hakuna mpango wa sasa, je, teknolojia hizi zinaweza kuwa na nafasi katika mustakabali wa miundombinu ya barabara nchini?
Ningependa kusikia mawazo na uzoefu
wa wadau kuhusu hili.