mkuu vipi kuhusu hizo barabara zinazojirekebisha zenyewe kwa kutumia bakteria maalumuTarmac maana yake inatokana na material yanayoitwa tar. Haya material kimuonekano ni kama asphalt lakini yanasifa tofauti na asphalt na uzalishwaji wake ni tofauti na asphalt.
Asphalt ni bora zaidi ya tar, na sisi hapa tanzania tunatumia zaidi asphalt, labda enzi za nyerere tar ilitumika , hapo sijui.
Asphalt na tar ni binder , na hayatumiki yenyewe kama yenyewe kama ndio layer ya mwisho kwenye barabara, bali kunakuwa na kokoto ili kuongeza uimara huku asphalt ikitumika kuzibind kokoto. Sasa namna ya kuzibind kokoto pia kuna utofauti , hivyo pamoja na kwamba tunatumia asphalt lakini kuna asphalt concrete na surface dressing.
kwa hiyo hiyo asphalt ndio ile laini? maana nilienda malawi lami yao ni kama unapita kwenye rough road yaani tairi za gari unazisikia ndani zinavyohangaishana na hiyo lami,Tarmac maana yake inatokana na material yanayoitwa tar. Haya material kimuonekano ni kama asphalt lakini yanasifa tofauti na asphalt na uzalishwaji wake ni tofauti na asphalt.
Asphalt ni bora zaidi ya tar, na sisi hapa tanzania tunatumia zaidi asphalt, labda enzi za nyerere tar ilitumika , hapo sijui.
Asphalt na tar ni binder , na hayatumiki yenyewe kama yenyewe kama ndio layer ya mwisho kwenye barabara, bali kunakuwa na kokoto ili kuongeza uimara huku asphalt ikitumika kuzibind kokoto. Sasa namna ya kuzibind kokoto pia kuna utofauti , hivyo pamoja na kwamba tunatumia asphalt lakini kuna asphalt concrete na surface dressing.
Ndo lami yenyewe ile nyeusibitumen ndo nini mkuu
Kama nilivyoandika hapo awali, lami kama lami haiwezi kutumika pekee kama final layer kwa ajili ya kupitisha magari.kwa hiyo hiyo asphalt ndio ile laini? maana nilienda malawi lami yao ni kama unapita kwenye rough road yaani tairi za gari unazisikia ndani zinavyohangaishana na hiyo lami,