ASFC: Simba yaisambaratisha Azam 2-0, sasa kukutana na Yanga katika Nusu Fainali

Pettymagambo

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2017
Posts
1,490
Reaction score
8,227
Leo Ni Leo Waweza Kusema Hivyo!

Pale Mida Ya 1;00 Usiku Katika Uwanja Wa Taifa, Timu Mbili Zenye Ushindani Mkubwa Zaidi Bongo Mnyama/ Wekundu Wa Msimbaz/ Wanalunyas/ Taifa Kubwa Timu Ambayo Inasakata Kabumbu Lakiwango Kilichothibitisha Na Shirikisho La Mpira Wa Miguu Africa Caf Dhidi Ya Azam.

Tukutane Hapa Hapa Kwa Apdates.
 
Mkude amewahishwa haraka wangemuingiza hata sub ila nimefurahi jembe Fraga yup
 
Wale Jamaa Uto Fc Wanatamani Mnyama Apoteze
 
fedelation au federation? rekebisha
 
Ngoja niagize kichupa cha kahawa niangalie kandanda safi la timu bora East Africa Simba Sports Club.timu yenye ubora wa kimataifa.
 
Asee kwa maneno ya yule msemaji wa Azam Simba wanastahili kushinda leo.Hii ni kupunguza ngebe za watu wajinga kama hao.Na alisema hivi kwa maksudi kabisa kwani ni mpenzi wa Yanga sijui kwa nini Azam wanakaa na mtu kama huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…