Gyeoul
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 3,758
- 5,365
Hatuwez Kukubari Ikajirudia, Kwa Namna Yeyote Ile Hatuwez Kubari! π πΌββοΈHakika Mtani inabidi tutafutane this time.
Hahahahaaa!! Kila la kheri Mtani wangu japo unajijua kabisa mkikutana na sisi vile namna huwa mnatepeta. πππ
Tiketi Yako Ninayo InshaAllah Getini Nitakusubiri.
Namimi Nikiwaga Na Uhakika Ivyi Kitu Lazime Kiwe Amiin
"Kama Si Refaa Yebo Yebo Wangeumbuka"