ASFC: Simba yaisambaratisha Azam 2-0, sasa kukutana na Yanga katika Nusu Fainali

ASFC: Simba yaisambaratisha Azam 2-0, sasa kukutana na Yanga katika Nusu Fainali

Hakika Mtani inabidi tutafutane this time.

Hahahahaaa!! Kila la kheri Mtani wangu japo unajijua kabisa mkikutana na sisi vile namna huwa mnatepeta. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hatuwez Kukubari Ikajirudia, Kwa Namna Yeyote Ile Hatuwez Kubari! πŸ™…πŸΌβ€β™€οΈ

Tiketi Yako Ninayo InshaAllah Getini Nitakusubiri.

Namimi Nikiwaga Na Uhakika Ivyi Kitu Lazime Kiwe Amiin

"Kama Si Refaa Yebo Yebo Wangeumbuka"
 
Hahahaaaa. Umefanya niiwaze hiyo namna yeyote ile. Ndo kusema mtawahonga ist wachezaji wetu? 😎😎

Uuh!! Ahsante Mtani. Ila usijipe 100% usije nizimikia bure. πŸ˜‚πŸ˜‚

Tusiandikie mate wino upo tarehe 12.07.2020. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hatuna Haja Yakuwahonga, 12 Si Mbali Kwenye Uzima, Tuwepo tu InshaAllah.
 
Hahahaaaa. Umefanya niiwaze hiyo namna yeyote ile. Ndo kusema mtawahonga ist wachezaji wetu? 😎😎

Uuh!! Ahsante Mtani. Ila usijipe 100% usije nizimikia bure. πŸ˜‚πŸ˜‚

Tusiandikie mate wino upo tarehe 12.07.2020. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Lile Gori Moja Na Ile Draw Mtatusaidia Kutueleweshe Mlipataje Ilo tu Tunahitaji.
 
Lile Gori Moja Na Ile Draw Mtatusaidia Kutueleweshe Mlipataje Ilo tu Tunahitaji.
Mtani umefanya nimecheka. Lol.

Mana ile tarehe nane mlisema tutawaeleza tulikomboaje zile goli mbili cha ajabu tukawalaza na viatu. Lol

Haya mie nakuachia maneno yako Mtani ambayo si ajabu baada ya mechi nikaligeuza kwako kwa namna ingine.
 
Hahahaaa. Sawa Mtani.

Tuombe uzima Insha Allah. πŸ™
Wananchi 4:2-8
Nao baada ya kusikia habari zile za kushtua ya kwamba wanakutana na mnyama wakafadhaika sana mioyoni mwao. Tazama ndipo mmoja wao akapaza sauti na kusema "Ee Morrison tunakuhitaji Sana katika kipindi iki" naye Morrison baada ya kuwasikia akasema " Enyi wananchi msinililie mimi, walilieni viongozi wenu na refa aliyewapeleka nusu fainali. Kwa maana ubaya na hila zao hakika ni aibu kwenu" Alipokwisha kusema hayo akatoka akaenda zake
 
.
FB_IMG_1586931024261.jpg
 
Simba haijawahi kufungwa na utopolo mara mbili
Msimu wa 2016/2017 tuliwachapa nje ndani mzunguko wa kwanza 2 bila magoli ya Tambwe na Busungu akifunga la pili na mzunguko wa pili 2 bila tena magoli ya Ngoma na Tambwe akifunga la pili so si ajabu tar 12 tukawachapa tena ni utamaduni wetu!
 
Back
Top Bottom