ASFC: Simba yaisambaratisha Azam 2-0, sasa kukutana na Yanga katika Nusu Fainali

ASFC: Simba yaisambaratisha Azam 2-0, sasa kukutana na Yanga katika Nusu Fainali

Au unadhani mashabiki wa timu ya Wananchi a.k.a Mabingwa wa kihistoria Nchini Tanzania, tuna muda mchafu wa kuangalia hizo timu zenu Mbumbumbu fc A na B?
[/QUOTE]
Hakuna Kombe Linaitwa Kihistoria Hapa Bongo Na Duniani Kote Ewe Uto Fc
 
Back
Top Bottom