Mke tena tuwafanye Kama kawaida yetuUTOPOLO WE'RE COMING BABY
Hapa Utopolo wanachanganywa na mambo mawili; kandanda la Simba na kutoweka kwa MorrisonTunasakata kambumbu
Mpwa unateseka!MSIFURAHIE MBIO FURAHIA ANAEKUKIMBKZA
TUKUTANE KWA MCHINA
Hautaamini kitachotokea...mark my words...Tena mje kwa wingi Kama kawaida yenu kujiamini kwa mechi za hivi karibuni ili msiba uwanjani uwe mkubwa zaidi...mtapigwa 2 kavu...Yani hao this time ni saba haki ya mama
Lugha ya mtoto mdogoKuna jamaa huko mavi yanagonga chupi yanarudi.
Safi mkuu79' Simba 2 - 0 Azam
huna uwezo wa kumpiga yanga hata march 8 mlisema ivo ivo kilicho wakuta mpaka leo ni aibuTutajipigia hawataamini
Ni kweli mkuu kwa "vibuyu" mko vizuri..huna uwezo wa kumpiga yanga hata march 8 mlisema ivo ivo kilicho wakuta mpaka leo ni aibu