Hatuwez Kukubari Ikajirudia, Kwa Namna Yeyote Ile Hatuwez Kubari! π πΌββοΈHakika Mtani inabidi tutafutane this time.
Hahahahaaa!! Kila la kheri Mtani wangu japo unajijua kabisa mkikutana na sisi vile namna huwa mnatepeta. πππ
Kwani utopolo tunakutana nao lini? Maaa awamu hii hawachomokiSimba hii ya sasa haiwezi fungwa mechi mbili mfululizo na utopolo fc.
semi final lazima Yanga wakalishwe.
Hahahaaaa. Umefanya niiwaze hiyo namna yeyote ile. Ndo kusema mtawahonga ist wachezaji wetu? ππHatuwez Kukubari Ikajirudia, Kwa Namna Yeyote Ile Hatuwez Kubari! π πΌββοΈ
Tiketi Yako Ninayo InshaAllah Getini Nitakusubiri.
Namimi Nikiwaga Na Uhakika Ivyi Kitu Lazime Kiwe Amiin
"Kama Si Refaa Yebo Yebo Wangeumbuka"
Hatuna Haja Yakuwahonga, 12 Si Mbali Kwenye Uzima, Tuwepo tu InshaAllah.Hahahaaaa. Umefanya niiwaze hiyo namna yeyote ile. Ndo kusema mtawahonga ist wachezaji wetu? ππ
Uuh!! Ahsante Mtani. Ila usijipe 100% usije nizimikia bure. ππ
Tusiandikie mate wino upo tarehe 12.07.2020. πππ
Lile Gori Moja Na Ile Draw Mtatusaidia Kutueleweshe Mlipataje Ilo tu Tunahitaji.Hahahaaaa. Umefanya niiwaze hiyo namna yeyote ile. Ndo kusema mtawahonga ist wachezaji wetu? ππ
Uuh!! Ahsante Mtani. Ila usijipe 100% usije nizimikia bure. ππ
Tusiandikie mate wino upo tarehe 12.07.2020. πππ
Hahahaaa. Sawa Mtani.Hatuna Haja Yakuwahonga, 12 Si Mbali Kwenye Uzima, Tuwepo tu InshaAllah.
Mtani umefanya nimecheka. Lol.Lile Gori Moja Na Ile Draw Mtatusaidia Kutueleweshe Mlipataje Ilo tu Tunahitaji.
Wananchi 4:2-8Hahahaaa. Sawa Mtani.
Tuombe uzima Insha Allah. π
Nakukumbusha Morrison alicheza dakika 45 tuuu.Mtamrudisha Morrison?
Maana ndiye mbeba mikoba kwa mwaka huu.
Nakukumbusha Morrison alicheza dakika 45 tuuu.
wale wale wa march 8Kwa wachezaji gani ulonao?
Msimu wa 2016/2017 tuliwachapa nje ndani mzunguko wa kwanza 2 bila magoli ya Tambwe na Busungu akifunga la pili na mzunguko wa pili 2 bila tena magoli ya Ngoma na Tambwe akifunga la pili so si ajabu tar 12 tukawachapa tena ni utamaduni wetu!Simba haijawahi kufungwa na utopolo mara mbili
Hii ndio first eleven inayotisha.
Eeh bana eeh kosi full mkoko
Mbona mzamiru hakuepo kwenye majina ya sub?Eeh bana eeh kosi full mkoko
mnataka kukata rufaa?unajua kama sub ni 7?hapo waliweka 5 tuMbona mzamiru hakuepo kwenye majina ya sub?
halafu hilo singasinga kabla ya mechi lilikuwa linajifanya simba kumbe utopolomnataka kukata rufaa?unajua kama sub ni 7?hapo waliweka 5 tu