Asha Baraka nakuchukia sana

Asha Baraka nakuchukia sana

Mtoa mada sokwe nafikiri hili suala ulilichukua kwa upande mmoja lakini upande wa pili ndio huo kama wachangiaji walivyo changia vile vile Asha ana familia, ana ndugu, ana bendi zaidi ya moja na wengi wamepitia hapo unadhani atasaidia wangapi?
Ni prof pekee ndo anastaili lawama coz anachukua kodi zetu alafu yeye ana .....
 
sokwe

NAONA MADAI YAKO NI YA UKWELI..
NA MUNGU KASIKIA MAOMBI YAKO..

MADUKA MAWILI YA ASHA BARAKA YALIYOPO KWENYE JENGO LA MACHINGA COMPLEX YAMEWAKA MOTO MCHANA HUU..

NA NDO MADUKA YA KWANZA KUUNGUA..
 
Last edited by a moderator:
sokwe

NAONA MADAI YAKO NI YA UKWELI..
NA MUNGU KASIKIA MAOMBI YAKO..

MADUKA MAWILI YA ASHA BARAKA YALIYOPO KWENYE JENGO LA MACHINGA COMPLEX YAMEWAKA MOTO MCHANA HUU..

NA NDO MADUKA YA KWANZA KUUNGUA..

ASHA BARAKA naye ni mmachinga? Kweli ni Shigggdaaa ndio maana hadi Viwanja Vya walioathirika na Mafuriko walipata hadi wakuu madiwani.
 
Last edited by a moderator:
sokwe

NAONA MADAI YAKO NI YA UKWELI..
NA MUNGU KASIKIA MAOMBI YAKO..

MADUKA MAWILI YA ASHA BARAKA YALIYOPO KWENYE JENGO LA MACHINGA COMPLEX YAMEWAKA MOTO MCHANA HUU..

NA NDO MADUKA YA KWANZA KUUNGUA..

duh hatari
 
Last edited by a moderator:
ingekuwa ukipelekwa hospital za maana hufi kina Rockefeller wangekuwapo mpaka leo na kina oasis tukumbuke kila nafsi itaonja umauti sasa isiwe chanzo cha kumtafuta mchawi.
Kwa mapendekezo yako ulitaka marehemu afe lini? kama ni muumini kila mtu kapangiwa ajali yake na ikifika lazima uondoke mbele yeye nyuma sisi pumzika kwa amani amigolas.
 
Hivi kwa nini masupa star wa bongo wakiugua wanakuwa omba omba?? Je wanatanua sana na kusahau kujiwekea akiba ya wakati wa majanga? Au ndo usanii wa bongo haulipi?? I wonder bongo muvi kude, bongo fleva balaa, taarabu majanga, dansi kumbe wauza sura tu mfukoni hakuna kitu. Nawashauri wasanii wote tajwa hapo juu wajiunge wakiangukie NHIF, au AAR au insurance company yoyote iwadhamini, wao wachangie kidogo kila mwezi na iyo insurance company iwe inagharamia matibabu yao. Ni hayo tu
 
Hapa Sokwe hujafikiria kama binaadamu....malalamiko yako hayana msingi wowote.

Na unaposema Asha alimsaidia mtu baki akamuacha ndugu yake...hiki ni kioja, huyo Mungu unayemshtakia kwake yeye hajui kama kuna ndugu baki na ndugu ndani...kwake ndugu ni ndugu, hebu ujifanyie tathmini kama kweli unamjua Mwenyezi Mungu.

Kesho Misanya Bingi mambo yake yasipoenda sawa utambwatukia Mzee Mengi kwa kuwa tu Misanya alifanya kazi IPP ? je ni Amigo peke yake ndiye aliyekwishafanya kazi kwa Asha ?....na wengine je hawana stahili hizo ? huyo Asha atayaweza wapi ? badala kuilaumu serikali yako kukosa hizo huduma bora unahamishia hasira kwa Asha.

Unavyosema Asha ni mbaya wewe tunakujua wapi tuone kuwa ni mwema unayepaswa kumuona Asha ni mwema ? nijuavyo mbaya pia humuona mwema mbaya kwa maslahi na tafsiri zake binafsi...kama wewe ni Singa singa na Asha ni Kafulila basi Asha atakuwa mbaya tu kwako, hatuna msaada kwa hilo ewe Sokwe.

Kama unasema Asha ni ndugu wa Marehemu ni dhahiri kuwa wewe usiye ndugu hujui Marehemu alikuwa anaugua nini, hujui daktari aliongea nini na ndugu wa marehemu kuhusu ugonjwa wa Marehemu...sasa hebu kafanye homework zako vizuri uje tena ueleweke unataka kusema nini.

Kijana ww dini gani samahani lkn MSAADA NA SADAKA HUANZA KWA NDUGU Ndipo huvuka kusaidia wengine km kaka ndugu yako wadamu anaumwa nauwezo unao na ukasaidia mtu baki familia yako inateketea ww ni mpumbavu number moja. Km kweli na huyo Asha Baraka na marehemu wanauhusiano wakindugu na uwezo alikuwa anao ni mpumbavu wa dunia.
 
nimesikitishwa sana na kifo cha binamu yangu khamis kayumbu amigoras kwa matatizo ya moyo, amigoras ni ndugu yako na amefanya kazi kwenye band yako kwa miaka 18!

Unajua tatizo lake la afya, lakini umeshindwa kumsaidia hata kumchangia pesa za matibabu kwenda india kwa vile amigoras alihama band yako! Kwanini huwezi kuwa na shukrani kwa mtu aliyekutumikia kwa miaka yote hiyo na mafanikio yote uliopata?

Kuna ubaya gani kujitoa katika band yako na kujitafutia maendeleo yake sehemu nyingine? Umekuwa kinara wa michango wakati wa uhai wa gurumo na hata kufanya show ya band yako ili kukusanya fedha za kumsaidia!

Kwanini umeshindwa kumsaidia nduguyo lakini umeweza kumsaidia mtu baki? Ni kwasababu hutaki watu watoke band yako, unataka waendelee kuwa watumwa wako milele!

Khamis sio mtu wa kwenda magazetini kuomba msaada wa fedha za matibabu, na ulivyokuwa huna aibu kwenye msiba wake pesa za awali za maandalizi ya msiba umetoa! Ulikuwa unataka kuonesha nini? Kwanini hukumsaidia wakati wa uhai wake?

Nilikuwa nasoma kwenye magazeti jinsi ulivyokuwa mtu wa chuki na visasi wanamuziki wako wakihama band, nakuchukia sana.

ulienda kumuuliza kama hakumsaidia....?
 
Kijana ww dini gani samahani lkn MSAADA NA SADAKA HUANZA KWA NDUGU Ndipo huvuka kusaidia wengine km kaka ndugu yako wadamu anaumwa nauwezo unao na ukasaidia mtu baki familia yako inateketea ww ni mpumbavu number moja. Km kweli na huyo Asha Baraka na marehemu wanauhusiano wakindugu na uwezo alikuwa anao ni mpumbavu wa dunia.

Sawa dada Sidiria...nadhani hayo ni mawazo kama yako, na ndio hutumiwa hata na Mafisadi, wanaiba mali ya umma ili kujinufaisha wao na familia zao, kwani ndio wenye thamani kuliko walioibiwa.

Pili sidhani kama kwenye hiyo kesi ya Asha, kama kulikuwa na choice ya wagonjwa wawili kwa wakati mmoja then akaamua kumsaidia mmoja na kumuacha mmoja....Na kwa huo mtazamo wako, iwapo ataugua jirani yako utanyamaza kusubiri nduguyo augue ili umsaidie yeye kwanza ?

Nimempinga mleta uzi kusema habari ya ndugu baki kwenye kutoa msaada, na nasimamia maneno yangu wewe baki na mtazamo wako, hizi ni baadhi ya nukuu ninazotumia mimi...."Na ya pili ndio hii, mpende jirani yako kama nafsi yako"...Marko 12:31......"Bali ninyi msiitwe rabi, maana mwalimu wenu ni mmoja, nanyi nyote ni ndugu....mathayo 23:8 "Adamu akamwita mkewe jina lake Hawa, kwa kuwa yeye ndiye aliye mama yao wote walio hai"...Mwanzo 3:20
 
Nimesikitishwa sana na kifo cha binamu yangu khamis Kayumbu Amigoras kwa matatizo ya moyo, Amigoras ni ndugu yako na amefanya kazi kwenye band yako kwa miaka 18!

Unajua tatizo lake la afya, lakini umeshindwa kumsaidia hata kumchangia pesa za matibabu kwenda India kwa vile Amigoras alihama band yako! Kwanini huwezi kuwa na shukrani kwa mtu aliyekutumikia kwa miaka yote hiyo na mafanikio yote uliopata?

Kuna ubaya gani kujitoa katika band yako na kujitafutia maendeleo yake sehemu nyingine? Umekuwa kinara wa michango wakati wa uhai wa Gurumo na hata kufanya show ya band yako ili kukusanya fedha za kumsaidia!

Kwanini umeshindwa kumsaidia nduguyo lakini umeweza kumsaidia mtu baki? Ni kwasababu hutaki watu watoke band yako, unataka waendelee kuwa watumwa wako milele!

Khamis sio mtu wa kwenda magazetini kuomba msaada wa fedha za matibabu, na ulivyokuwa huna aibu kwenye msiba wake pesa za awali za maandalizi ya msiba umetoa! Ulikuwa unataka kuonesha nini? Kwanini hukumsaidia wakati wa uhai wake?

Nilikuwa nasoma kwenye magazeti jinsi ulivyokuwa mtu wa chuki na visasi wanamuziki wako wakihama band, nakuchukia sana.

Poleni Kwa kufiwa, naomba niulize kwani alipoondoka kwa Asha hakuchukua mafao yake? Au kwanini usilaumu Band alikua nayo mwisho unamlaumu Asha? Atatoa pale atakapo kua na uwezo na atakapo jisikia Sio lazima kutoa ni hisani, na kumchukia wewe huzimi wala huwashi kwenye maisha ya Asha au ya yoyote yule chamsingi jiulize wewe umemsaidia nini ukiwa mtu wake wa karibu sio Asha hata kidogo.....
 
Wewe kama ndugu yake ulimchangia kiasi gani? Au jukumu lako wewe ni kuteua wachangaji? Waswahili bwana!
 
Ndugu lawama wamejaaa dar es salaam... na sio dar es salaam tu bali kila pembe duniani
ndugu lawaaama kazi yao lawamaaaaa
ndugu lawama wamejaa lawamaaa

By Muumin Mwinjuma...
 
okay, iko hivi
mishahara ya bendi za dansi ni midogo hautaamini..amigo alikuwa nalipwa kama 250,000 kwa mwezi na posho ya kila shoo ni kati ya 10,000-15,000
katumikia band kwa miaka 18 lakini mara ya mwisho anaondoka kwenda ruvu stars ya jeshi alikuwa hajalipwa mshahara kama wa miezi 2 akulizwa anajibiwa dharau lakini kina kalala jr, dogo rama wanalipwa zaidi na kwa wakati
hiyo kitu ilimuumiza sana na alikuwa akilalamika mno
naomba niishie hapa kwa leo maana vya kuandika ni vingi
 
Msaada ni hiari, sio shuruti.

Huwezi kumchagulia mtu wa kumsaidia.

Kutomsaidia mtu sio dhambi.

Ukimchukia hutafaidika na chochote.

Bahati mbaya sana kwako kuna wengine wanampenda

RIP Amigolas. sote tuko njia moja. Pamoja na Asha Baraka.

Ay......nakupenda miaka mia nane
 
kabla ya kumnyooshea kidole asha baraka ebu tuambie wewe ulitoa mchango gani kwa marehemu wakati wa ugonjwa wake??
 
Back
Top Bottom