Asha Baraka nakuchukia sana

Asha Baraka nakuchukia sana

Hivi kwa nini masupa star wa bongo wakiugua wanakuwa omba omba?? Je wanatanua sana na kusahau kujiwekea akiba ya wakati wa majanga? Au ndo usanii wa bongo haulipi?? I wonder bongo muvi kude, bongo fleva balaa, taarabu majanga, dansi kumbe wauza sura tu mfukoni hakuna kitu. Nawashauri wasanii wote tajwa hapo juu wajiunge wakiangukie NHIF, au AAR au insurance company yoyote iwadhamini, wao wachangie kidogo kila mwezi na iyo insurance company iwe inagharamia matibabu yao. Ni hayo tu
Maelezo ya maana sana ningependa wanamuziki wote wangelifahamu ili ktk maelezo yako safi na ya kuelimisha .
 
Asha Baraka asilaumiwe hapa ,yeye ni mfanya biashara na kila mfanya biashara huwa analenga profit kila siku pia kumbukeni zaidi ya hiyo faida pia kuna matumizi thta including malipo ya wasanii wake ambao wanawajibika na maisha yao,sio mtu kashindwa peleka mboga na mchele nyumbani kwake alaumiwe Asha Baraka na ilhali anawalipa mishahara wafanya kazi wake,watanzania tujifunze kuwa responsible ktk maisha yetu,tusitegemee sana maisha ya kuchangiwachangiwa kila tunapopatwa na majanga.Kuna mchangiaji mmoja kwa jina Mchemsho hapo juu kaandika kitu kimoja safi sana na ninatamani post ka hiyo ingewekwa ktk magazeti ili wasanii wote wajionee na labda wanaweza wakapata kitu fulani cha kujifunzaASHA BARAKA NI MFANYA BIASHARA ANALENGA FAIDA ILI AWEZE KULIPA TAX ZAKE KIRAHISI KUMBUKENI UNDUGU NA BIAShARA HAVIENDi PAMojA. M/MPAMBA.
 
Mijitu mingine tabu tupu kila nikiwa nausoma huu uzi naona huyu hakuwa mzima.
 
Jamani mwisho mtaugua huu ugonjwa wa kuchukia watu. katika watu mia unawachukia sabini hivi una uhai kweli wewe!
 
Jamani mwisho mtaugua huu ugonjwa wa kuchukia watu. katika watu mia unawachukia sabini hivi una uhai kweli wewe!

Future belongs to those who are not afraid to take risk in their life.
 
wabongo banaa mnapenda vya rahisi na ni wavivu sana...sasa hivi hapa huyu dada anahusika vipi na haya maisha ya huyu jamaa...kila mtu aubebe mzigo wake banaa..muacheni dada wa watu afanye yake kwa jasho lake..mtegemea cha ndugu hufa maskini...eboooo.
 
Unatokwa povu sana siungempeleka we mwenyewe huko India katika ndugu wote Asha tu ndo wakumsaidia?
 
Back
Top Bottom