Asha Baraka: "Sitaki Ali Choki afie kwangu''

sidhani kama unamjua Ally Choki, amechoka vibaya. Last time nimemuona yupo na King Kikii bar fulani nikawa nabisha sio yeye hadi alivyojitambulisha na kuimba kidogo.
Duh!! Amepoteza utambulisho wa sura hadi aimbe ndio anatambulika mkuu?
 
Aliyefariki ni bi shuea, mama milionea wa bandari aliyekuwa anaishi na choki kinyumba kwenye kasri lake maeneo ya tuangoma kigamboni..extra bongo na kila kitu ilikuwa ni huyu mama..alifariki 2014 kwa Kansa..kutokea hapo alichoki akachoka na extra bongo chali..akarudi kuishi uswazi
 
Dah! Ali choki enzi zake alikuwa moto balaa sijui sasa itakuweje.maana game limeshabadilika sana.
 
Wagombanapo........chukua jembe ukalime,Choki na Asha wanajuana kama kidole na pete,hayo yao hayatuhusu sisi tunataka rumba tu
 
Hapo ni kwamba anatimuliwa.
 
Huyu Choki alitembelea nyota ya Banza Stone na huyu Asha Baraka hana lolote na mikorogo yake, wote zilipendwa.
 
Choki na Asha wanajuana kindaki ndaki watu waliokuwa wapenzi ugomvi wao sio wa kuingilia hata watoleane kashfa vipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…