ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,073
- 858,551
Hahaha jamaniKuna siku nilisikia Ali choki amefariki !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha jamaniKuna siku nilisikia Ali choki amefariki !
Mkuu me nilivyoona title nikapeleka mawazo kwenye ile list ya ASTON VILLAMi nilivyoona title nikadhani anaumwa mahututi
Duh!! Amepoteza utambulisho wa sura hadi aimbe ndio anatambulika mkuu?sidhani kama unamjua Ally Choki, amechoka vibaya. Last time nimemuona yupo na King Kikii bar fulani nikawa nabisha sio yeye hadi alivyojitambulisha na kuimba kidogo.
Wagombanapo........chukua jembe ukalime,Choki na Asha wanajuana kama kidole na pete,hayo yao hayatuhusu sisi tunataka rumba tuView attachment 687538 Baada ya msanii wa mziki wa Dance Ali Choki kupiga stori na eNEWZ wiki chache zilizopita na kusema mwaka 2018 atafanya kazi zake mwenyewe kama Mama Asha Baraka ataendelea kulala, kiongozi huyo wa Twanga Pepeta amemjibu Choki.
Mama Asha Baraka baada ya kusikia kauli hiyo amesema anamshangaa sana Ali Choki kusema maneno hayo kwani tangu mwaka jana alishamruhusu akafanye kitu anachotaka hata kama ikiwa ni pamoja na kazi zake binafsi.
''Namshangaa sana Ali Choki mimi nishampa ruhusa afanye kazi nyingine yoyote bila kujali mkataba wetu unasemaje hivyo yeye aendelee na mambo yake wala asinifikirie'' amesema.
Asha Baraka pia amesema kuwa hataki Ali Choki afie Twanga Pepeta hivyo kama ana uwezo arudi akaifufue Extra Band kwani alimpa uongozi ndani ya Twanga Pepeta akashindwa kuiongoza.
Ali Choki tayari ameshaonekana akiingia studio na msanii Beka Flavour kuandaa kazi zake binafsi hivyo huenda akawa tayari ameshajiandaa na maisha bila ya Twanga Pepeta.
EATV.
Ha ha ha mama ana gubu na jazba Huyo balaa! Huyu na Hadija Kopa eti ndio walikua waNec ya Ccm...jamani!Asha baraka kumbe yupo,
heri msingemleta huku yasije mkuta makubwa mama wa watu;
Nini hicho bimkubwaAsha baraka kumbe yupo,
heri msingemleta huku yasije mkuta makubwa mama wa watu;
Ile chain ilikuwa noma...50% tayari...iliyobaki ndio hao na kina stv nyerereKuna siku nilisikia Ali choki amefariki !
Achenni basi hiyo story jamani!Ile chain ilikuwa noma...50% tayari...iliyobaki ndio hao na kina stv nyerere
Bado yupo mkuuKuna siku nilisikia Ali choki amefariki !
Steve akisoma hapa pressure inazidi kupandaIle chain ilikuwa noma...50% tayari...iliyobaki ndio hao na kina stv nyerere
Diouf limenenepa jaman yaanUnachoongea hukijui, nafikiri unamfanaisha Choki na Msafiri Diof ambaye ndo kanenepa sana. Kwa Choki umebugi
Kwan hajijui unadhanSteve akisoma hapa pressure inazidi kupanda
Unapoambiwa kanenepa ndo kuchoka kwenyewe huko mkuulini umemuona mii nimemuana kama miez kadhaa amenenepa amechoka lini tena kiasi hicho alikuja kule kunduchi kufanya show