Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Sasa mnatuletea walevi wapi na wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha ushamba wewe,anasema lazima uwe na card,wakati wengine sio Chadema na wala hawaitaki nahiyo ccm.Ila wanataka huduma sehemu husikaChadema mnapenda sana kulia lia, sasa kama eneo lilitolewa kwa ajili ya vijana wa CCM, iweje vijana wa vyama vingine wawepo? Vigezo na Masharti lazima vizingatiwe.
Hivi kwenye bendi yake huwa anakagua kadi za vyama, au kule anaokota tu, shameMmiliki wa bendi ya mziki ya Twangapepta awagawa watanzania.
Asha Baraka ametoa maneno ya chuki na kibaguzi dhidi ya wana ccm na watanzania wengine wasio wana ccm.
Ebu msikilizeni ila tunamwambia kuwa kapanda ajihidi sana kuvuna alichokipanda.
Huyo bibi mimba alizotupia chooni ujanani zimeanza kumlaaniMmiliki wa bendi ya mziki ya Twangapepta awagawa watanzania.
Asha Baraka ametoa maneno ya chuki na kibaguzi dhidi ya wana ccm na watanzania wengine wasio wana ccm.
Ebu msikilizeni ila tunamwambia kuwa kapanda ajihidi sana kuvuna alichokipanda.
Itapendeza akitunga wimbo wa hayo maneno yake ya kibaguziMmiliki wa bendi ya mziki ya Twangapepta awagawa watanzania.
Asha Baraka ametoa maneno ya chuki na kibaguzi dhidi ya wana ccm na watanzania wengine wasio wana ccm.
Ebu msikilizeni ila tunamwambia kuwa kapanda ajihidi sana kuvuna alichokipanda.
Eneo ni la chama kwa ajili ya wanachama wao- unaona shida gani?Mmiliki wa bendi ya mziki ya Twangapepta awagawa watanzania.
Asha Baraka ametoa maneno ya chuki na kibaguzi dhidi ya wana ccm na watanzania wengine wasio wana ccm.
Ebu msikilizeni ila tunamwambia kuwa kapanda ajihidi sana kuvuna alichokipanda.
Imekaaje hii Mkuu? Hebu ipe nyama kidogoMtu ambaye ameshapigwa mtungo unategemea atakuwa na akili