Asha Baraka umepanda mbegu za chuki dhidi ya CCM na upinzani, subiri uvune ulichokipanda

Asha Baraka umepanda mbegu za chuki dhidi ya CCM na upinzani, subiri uvune ulichokipanda

Huyu mama Asha Baraka ni mjumbe wa Bodi ya Club ya Simba. Club maarufu sio Tanzania tuu bali Afrika na hata huko FIFA inatambulika.

Iweje asijitambue nafasi aliyo nayo aropoke hadharani mambo ya kijinga kama hayo? Kuwa kwake CCM hajui hakumpi nafasi ya kuropoka kwa vile hata kama chama hicho ni cha hovyo, lakini bado anayo nafasi katika Taasisi inayoheshimika kama Simba na ametukwaza kwani Club imepata kebehi nyingi kwa upuuzi huu wa hadharani.

Tumuombe ajiuzulu akaendelee na ujinga wake kwa wajinga wenzie kwani Bodi ya Simba sio ya wapuuzi kama yeye.

View attachment 2880914
🤔🙄
 
Mmiliki wa bendi ya mziki ya Twangapepta awagawa watanzania.

Asha Baraka ametoa maneno ya chuki na kibaguzi dhidi ya wana ccm na watanzania wengine wasio wana ccm.

Ebu msikilizeni ila tunamwambia kuwa kapanda ajihidi sana kuvuna alichokipanda.

View attachment 2880803
Huyu sasa naona kachanganyikiwa.. Kwahiyo hata kwenye biashara zake wasio wa ccm wasiende?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh naona bado sieleweki, sawa mkuu nmekuelewa.
Kwa hili huwezi kueleweka huwezi kumtetea muovu kama huyu.

Kwa alichokifanya Baraka ni sawa na kuliingiza taifa kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe.

Tanzania tuna ishi maisha ya kushirikiana bila kujali dini au itikadi ya mtu.

Anapo taka kutupeleka Baraka ni kuacha kuzikana kisa huyo ni ccm au huyo ni CDM.
 
Nadhani wewe ndio umemuelewa mleta mada kuliko hao wengine walio dandia treni kwa mbele.
Hivi kweli unaweza kumkuta Kaduguda au Raphael Chegeni anafanya ujinga wa aina hiyo?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Huyu atakuwa na vielement vya Burundi pale Kigoma alipitia tu maana kwao ndiyo wanaishi kwa kubaguana.
 
Back
Top Bottom