Asha Baraka umepanda mbegu za chuki dhidi ya CCM na upinzani, subiri uvune ulichokipanda

Asha Baraka umepanda mbegu za chuki dhidi ya CCM na upinzani, subiri uvune ulichokipanda

Mmiliki wa bendi ya mziki ya Twangapepta awagawa watanzania.

Asha Baraka ametoa maneno ya chuki na kibaguzi dhidi ya wana ccm na watanzania wengine wasio wana ccm.

Ebu msikilizeni ila tunamwambia kuwa kapanda ajihidi sana kuvuna alichokipanda.

View attachment 2880803
Tukiwambia Bhangi ni mmea dume hawataki kuelewa ona inavowapitia kubhaya sasa.
 
Amesema hiyo ni sehemu ya vijana wa ccm, anamaanisha hiyo sehemu ni kwa ajili ya wanaccm tuu, kama ni hvy basi yupo sahihi na hakuna baya aliloongea kwa Chadema mana ni sawa na kuuza katiba ya Chadema kwenye ofisi za ccm hiyo kitu hakiwezekani
Yupo sahihi kwa mtazamo wa ndani huwezi ukabeba jezi za CCM ukaenda kukaa Ufipa Street pale ukahisi watakuelewaje? Si watakuona wewe mwanga mchawi umekuja kuwawangia katika eneo lao?
 
Yupo sahihi kwa mtazamo wa ndani huwezi ukabeba jezi za CCM ukaenda kukaa Ufipa Street pale ukahisi watakuelewaje? Si watakuona wewe mwanga mchawi umekuja kuwawangia katika eneo lao?
Sasa Chadema wanalalamika, utadhani wao watakubali mtu wa ccm kufanya biashara eneo lao.
Tatizo mtu akiongea ukweli wanaanza kukuona ww n mwanachama wa hicho chama
 
Huyu mama Asha Baraka ni mjumbe wa Bodi ya Club ya Simba. Club maarufu sio Tanzania tuu bali Afrika na hata huko FIFA inatambulika.

Iweje asijitambue nafasi aliyo nayo aropoke hadharani mambo ya kijinga kama hayo? Kuwa kwake CCM hajui hakumpi nafasi ya kuropoka kwa vile hata kama chama hicho ni cha hovyo, lakini bado anayo nafasi katika Taasisi inayoheshimika kama Simba na ametukwaza kwani Club imepata kebehi nyingi kwa upuuzi huu wa hadharani.

Tumuombe ajiuzulu akaendelee na ujinga wake kwa wajinga wenzie kwani Bodi ya Simba sio ya wapuuzi kama yeye.

 
Mzee hapo hakuna mali ya mtu ndugu, mali za ccm zote zilikuwa ni nguvu za watanzania kabla ya mfumo wa vyama vingi
Hiyo nimetolea mfano tuu, lkn point yangu n eneo la ccm kwann Chadema watumie ndio nikatoa tena mfano unaweza kwenda kuuza nguo zenye nembo ya Chadema kwenye ofisi za ccm.?
 
Back
Top Bottom