Asha Baraka umepanda mbegu za chuki dhidi ya CCM na upinzani, subiri uvune ulichokipanda

Asha Baraka umepanda mbegu za chuki dhidi ya CCM na upinzani, subiri uvune ulichokipanda

Ccm siku kijiti akipokea mpinzani ndiyo siku ya kufilisika maeneo yote walijimilikisha kutoka serikalini basi yatarudishwa
 
Mmiliki wa bendi ya mziki ya Twangapepta awagawa watanzania.

Asha Baraka ametoa maneno ya chuki na kibaguzi dhidi ya wana ccm na watanzania wengine wasio wana ccm.

Ebu msikilizeni ila tunamwambia kuwa kapanda ajihidi sana kuvuna alichokipanda.View attachment 2880803
Eneo ni la CCM,Kama wauza magari hawalipii,walipe au waache uvccm wauze magari
 
Amesema hiyo ni sehemu ya vijana wa ccm, anamaanisha hiyo sehemu ni kwa ajili ya wanaccm tuu, kama ni hvy basi yupo sahihi na hakuna baya aliloongea kwa Chadema mana ni sawa na kuuza katiba ya Chadema kwenye ofisi za ccm hiyo kitu hakiwezekani
Yeye ni mfanya biashara za mziki na pia ana bar yake pale Kibaha anauza vinywaji na lounge mzuri tu ambayo anahitaji kupata wateja.

Kwa matamshi haya wapinzani waamue kususia huduma za lounge yake .

Maana anasema sehemu ya ccm hairuhusiwi kutumiwa na wapinzani.

Sasa ajiandae awauzie tu wana ccm wenzake kuanzia Sasa.
 
Back
Top Bottom