CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Na wewe ukishakula kitimoto na kushushia na K Vant unakuwaga na wenge sanaUmebadili gia angani? Umekimba maandamano unaweweseka na maccm.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe ukishakula kitimoto na kushushia na K Vant unakuwaga na wenge sanaUmebadili gia angani? Umekimba maandamano unaweweseka na maccm.
Tukiwambia Bhangi ni mmea dume hawataki kuelewa ona inavowapitia kubhaya sasa.Mmiliki wa bendi ya mziki ya Twangapepta awagawa watanzania.
Asha Baraka ametoa maneno ya chuki na kibaguzi dhidi ya wana ccm na watanzania wengine wasio wana ccm.
Ebu msikilizeni ila tunamwambia kuwa kapanda ajihidi sana kuvuna alichokipanda.
View attachment 2880803
N sehemu ya kupack na kuuza magari, uliza swali lingineEneo lenyewe unalijua na nini kinafanyika hapo au umeegemea kwenye unazi wa vyama tu? Yule kafanya kwa ulevi wake tu lakini amekosea sana.
Yupo sahihi kwa mtazamo wa ndani huwezi ukabeba jezi za CCM ukaenda kukaa Ufipa Street pale ukahisi watakuelewaje? Si watakuona wewe mwanga mchawi umekuja kuwawangia katika eneo lao?Amesema hiyo ni sehemu ya vijana wa ccm, anamaanisha hiyo sehemu ni kwa ajili ya wanaccm tuu, kama ni hvy basi yupo sahihi na hakuna baya aliloongea kwa Chadema mana ni sawa na kuuza katiba ya Chadema kwenye ofisi za ccm hiyo kitu hakiwezekani
Sasa Chadema wanalalamika, utadhani wao watakubali mtu wa ccm kufanya biashara eneo lao.Yupo sahihi kwa mtazamo wa ndani huwezi ukabeba jezi za CCM ukaenda kukaa Ufipa Street pale ukahisi watakuelewaje? Si watakuona wewe mwanga mchawi umekuja kuwawangia katika eneo lao?
UKikune kikongwe hicho uishie kupata magonjwa tuuhatareeeeee huyu anawashwaaaaa inabidi akunweeee
Kwa hio CCM wakienda kupanga Meza zao pale Ufipa Street wauze jezi zao watawachukuliaje?Sasa Chadema wanalalamika, utadhani wao watakubali mtu wa ccm kufanya biashara eneo lao.
Tatizo mtu akiongea ukweli wanaanza kukuona ww n mwanachama wa hicho chama
Ndio tuwaulize hawa wanaolalamikaKwa hio CCM wakienda kupanga Meza zao pale Ufipa Street wauze jezi zao watawachukuliaje?
Hiyo nimetolea mfano tuu, lkn point yangu n eneo la ccm kwann Chadema watumie ndio nikatoa tena mfano unaweza kwenda kuuza nguo zenye nembo ya Chadema kwenye ofisi za ccm.?Mzee hapo hakuna mali ya mtu ndugu, mali za ccm zote zilikuwa ni nguvu za watanzania kabla ya mfumo wa vyama vingi