Asha Dachi amrithi Ayub Rioba TBC, ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Bi. Asha Dachi Mbaruk ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC).

Kabla ya uteuzi huu, Bi. Mbaruk alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN). Bi. Mbaruk anachukua nafasi iliyoachwa na Dkt. Ayub Rioba Chacha ambaye amemaliza muda wake.
IMG_0062.jpeg

Screenshot 2026-07-14 170021.jpg

1784037540799.png
 
Attachments

  • 1784037702637.png
    1784037702637.png
    487.8 KB · Views: 13
Atuteulie sheikh wa Daslamu pia maana huyu wa sasa amevimbiwa vinyama hadi wenzake wamemtosa baharini.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Bi. Asha Dachi Mbaruk ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC).

Kabla ya uteuzi huu, Bi. Mbaruk alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN). Bi. Mbaruk anachukua nafasi iliyoachwa na Dkt. Ayub Rioba Chacha ambaye amemaliza muda wake.
View attachment 3629088
Hongera sana mama, lkn anatakiwa awe anavaa hijjab ili liendane na jina
 
angalia sasa hakuna info zozote khs amezaliwa wapi, umri wake, amesoma wapi, amesomea nini, cha muhimu hijab tu hiyo bassi, soo incompetent ...
 
Back
Top Bottom