shirika la utangazaji tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu: TBC ni Shirika la Utangazaji la Taifa, CCM iiachie lifanye kazi kama Shirika la Taifa

    Mwanahabari mkongwe, Jenerali Ulimwengu, ameitaka Serikali kuipa nafasi zaidi TBC kufanya kazi kama Shirika la Utangazaji la Taifa badala ya kuonekana kama chombo cha Serikali. Ulimwengu amesema hayo leo, Septemba 28, 2026, katika Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Upatikanaji wa Taarifa kwa...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Asha Dachi amrithi Ayub Rioba TBC, ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Bi. Asha Dachi Mbaruk ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC). Kabla ya uteuzi huu, Bi...
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM imeona TBC imekosa watazamaji, wakaikumbatia ITV

    Hii nchi ni mungu na shetani mpaka sasa wanatujadili kama walitukosea kutuchezesha kama walivyo kwenye majukumu yao. Yani kwa sasa serikali ya CCM wamejikita na ITV ndio wanaona pazuri pakuweka propaganda zao na mambo yao. Kwa nini wajikite na ITV Sio TBC
Back
Top Bottom